Recent content by Sarius

  1. Sarius

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tovuti ya Uhamiaji limekua sugu, njia mbadala inahitajika haraka kuwasaidia wasafiri

    Habari wakuu, Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali. Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili...
  2. Sarius

    JamiiForums Tanzania Walioitwa wafanyakazi wa majalalani ni wateule wa Rais na siyo wafanyakazi wa kawaida wasio wateule wa Rais

    Mzee anatoka nje ya ajenda yani hana point
  3. Sarius

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Kabisa anaongozwa na mihemko,Lissu kaongelea fidia kwa wahanga wa serikali ya pombe
  4. Sarius

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi hapa tunaweza toboa?
  5. Sarius

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wameshakokwa money lost
  6. Sarius

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Benifica anataka kututoa roho watu uku
  7. Sarius

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

    Sasa sijui tumuamini nani yani hii serikali wanatuchanganya sana Zambia wametoa notes leo kusisitiza wamefunga mpaka wa Nakonde iphone XS
  8. Sarius

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

    Sio kweli kuna makabila hayana ukoo,kama wahaya iphone XS
  9. Sarius

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

    Nikigundua kua ni mke wangu ndo kamfanya hiv Batuli kisa kanibeba,nasema patachimbika iphone XS
  10. Sarius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magwiji wa kuwafikisha wanawake kileleni

    Naona unaikana kauli yako,unawadanganya wadada kua wanaume wote ni sawa,bro hakuna kitu kama hicho kila mtu anashow zake anazijua iphone XS
  11. Sarius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magwiji wa kuwafikisha wanawake kileleni

    Kila ninapoingia katika mchezo hua najua nawawakilisha wanaume wote,huwa sipotezi mchezo iwe ugenini au nyumbani iphone XS
  12. Sarius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nililala guest na binti kwa mwezi mmoja na nusu

    Exactly,jamaa aliopoa chokoraaa iphone XS
  13. Sarius

    JamiiForums Tanzania Sabby Angel: Nitamtuliza Diamond

    Corona inatutesa uku Tz tumeshasau ya Diamond Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom