Walioitwa wafanyakazi wa majalalani ni wateule wa Rais na siyo wafanyakazi wa kawaida wasio wateule wa Rais

Mbogo nyeusi

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
233
540
Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi

Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone.

Kila jambo wanalo fanya wanafanya kumfurahisha mteule wao ,hao wote ni sampuli ya Professor Mzee wa Sifa mzee wa kuokotwa jalalani

Lissu siyo wa aina hiyo Kama alivyo sema yeye mwenyewe siyo wa vikazi vidogo vidogo!
 
Mumeanza kuhamisha magoli

Huyoo jamaa yenu Mzee wa kuropoka ropoka ameshalikoroga kwa kutukana watumishi wauma eti nitakataka za majalalani?

Hili litawagarimu, tuliwambia, jamaa yenu nje na matusi kichwani hata akili za ujazo wa kisoda hanaaa, yaaaani ni mweupe

Sasa unaona kubwatuka kwake na kupayukapayuka hovyo kunavyowagarimu wafuasi wake kwa sasaa, kalikoroga mwenyewee sasa alinyweee.

Toka akiwa bungeni, hajawahi toa hoja yoyote bila matusi.

Kila hotuba ni matusi, hivi hajioni kama yeye ni mtu mzima?

Hatamfanyejee, jaaaamaa yenu hasafishiki, kiufupi hana nidhamu.
 
Mumeanza kuhamisha magori
Huyoo jamaa yenu mzeee wa kuropoka ropoka ameshalikoroga kwa kutukana watumishi wauma eti nitakataka za majalalaniii?
Hili litawagarim, tuliwambia, jamaa yenu inje na matusi kichwani hata akili za ujazo wakisoda hanaaa, yaaaani nimweupe.
Sasa unaona kubwatuka kwake na kupayukapayuka hovyo kunavyowagarim wafuasi wake kwa sasaa, kalikoroga mwenyewee sasa alinyweee.
Toka akiwa bungeni, hajawahi toa hoja yoyote bila matusi.
Kila hotuba ni matusi, hivi hajioni kama yeye ni mtu mzima??
Hatamfanyejee, jaaaamaa yenu hasafishiki, kiufupi hana nidhamu.
Sisi watumishi wala kauli ya lissu haitutukwaza maana tulijua alimaanisha akina Kabudi!Cha ajabu watu wengine wanaguswa kwa niaba yetu!
Lissu nenda baba,hawawezi kukuchonganisha na sisi!Eti tukuchukie kwa fitina na tuache kumchukia mtu anayesema wazi mishahara yetu ya haki haongezi!!!!Tutakuwa wajinga tukifanya hivyo!
 
Mumeanza kuhamisha magori chadema.
Huyoo jamaa yenu mzeee wa kuropoka ropoka ameshalikoroga kwa kutukana watumishi wauma eti nitakataka za majalalaniii?
Hili litawagarim, tuliwambia chadema, jamaa yenu inje na matusi kichwani hata akili za ujazo wakisoda hanaaa, yaaaani nimweupe.
Sasa unaona kubwatuka kwake na kupayukapayuka hovyo kunavyowagarim wafuasi wake kwa sasaa, kalikoroga mwenyewee sasa alinyweee.
Toka akiwa bungeni, hajawahi toa hoja yoyote bila matusi.
Kila hotuba ni matusi, hivi hajioni kama yeye ni mtu mzima??
Hatamfanyejee, jaaaamaa yenu hasafishiki, kiufupi hana nidhamu.

Magufuli hana point na wala hawezi siasa. Tena Lisu anatakiwa arudie kila mara kuwa yeye sio wa jalalani, awape hao wa jalalani. Eti katukana watumishi wa umma, kwani watumishi wa umma wameteuliwa na rais? Hao watumishi wa umma wapo kabla Magufuli hajawa rais, na wataendelea kuwepo bila uwepo wake madarakani. Hao viazi anaowateua ndio kawatoa majalalani. Hili linaeleweka vizuri wala halihitaji ufafanuzi, labda kwa vilaza kama ww.
 
Usihamishe magoli wewe na mhe. rais.

WAFANYAKAZI (WATUMISHI WA UMMA) SIYO WOTE WA JALALANI NA SIYO TAKATAKA.

Kabudi alipoteuliwa, alimshukuru rais kwa kumwona na kumtoa jalalani.

Watumishi aina ya kabudi ndiyo wa jalalani.

Chondechonde, mh. Rais, muulize kabudi, ni jalala gani ulikomtoa?

Mtu kuishi au kushinda jalalani ATAKUWA NA AKILI TIMAMU KWELI?
 
Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi

Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone.

Kila jambo wanalo fanya wanafanya kumfurahisha mteule wao ,hao wote ni sampuli ya Professor Mzee wa Sifa mzee wa kuokotwa jalalani

Lissu siyo wa aina hiyo Kama alivyo sema yeye mwenyewe siyo wa vikazi vidogo vidogo!
Umesema vema akili ndogo hujadili neno , Lissu alitumia neno lao ("majalalani"....Prof. Kabudi)kumaanisha yeye si type ya wanaoabudu na kusifu mwanadamu. Asante democrasia kwa siku 10 pekee uthubutu wa Lissu kauli tayari Wakulima pamba waliikopwa muda wanaanza kulipwa, Ajira waalimu 13,000; Sera afya kwa wote ccm wanaanza fikiri zaidi nk, Hakika Mungu anampango na taifa letu Tz haitobakia ile tena.
 
Magufuli hana point na wala hawezi siasa. Tena Lisu anatakiwa arudie kila mara kuwa yeye sio wa jalalani, awape hao wa jalalani. Eti katukana watumishi wa umma, kwani watumishi wa umma wameteuliwa na rais? Hao watumishi wa umma wapo kabla Magufuli hajawa rais, na wataendelea kuwepo bila uwepo wake madarakani. Hao viazi anaowateua ndio kawatoa majalalani. Hili linaeleweka vizuri wala halihitaji ufafanuzi, labda kwa vilaza kama ww.
Sasa jamaa yenu karikorogaaa alinyeeee, kuropokaaaa kumezidiiii, kila maneno yake kumii lazima Tisa yawe nimatusiii. Halafu anajiita msomii. Anataka uraisi.
Hatuwezi kupeleka kiwanda cha mtusi ikuruuu. Hovyo kabisaaaa.
 
We kilaza rudi shule ukajifunze kuandika kwanza, tena sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio. Ukijua kuandika ndio uje uongee na wanaume hapa jukwaani.
 
Sisi watumishi wala kauli ya lissu haitutukwaza maana tulijua alimaanisha akina Kabudi!Cha ajabu watu wengine wanaguswa kwa niaba yetu!
Lissu nenda baba,hawawezi kukuchonganisha na sisi!Eti tukuchukie kwa fitina na tuache kumchukia mtu anayesema wazi mishahara yetu ya haki haongezi!!!!Tutakuwa wajinga tukifanya hivyo!
Sema we we unaefanya kazi ya kufua mashuka ya lisu we we ndo haijaaa kuuumma, acha kuwasemea wengine ambao niwajiliwa wa taaasisi mbalimbaliii. Za binafsi na za serikaliii.

Jamaa yenu amezidiii na matusi utadhani mtoto mdogooo.
Hatupeleki ikuru kiwanda cha matusi jamaaa
 
Narudia,ni upumbav kufikiri unaweza kumchonganisha Lissu na watumishi kwa propaganda mfu ili tumpende mtu ambaye ametutesa kwa miaka 5 na amesema hawezi kutupandishia mishahara kwenye utawala wake!
Sisi sio wajinga wa kiwango hicho!
 
HATUPEREKI IKURU KIWANDA CHA MTUSI.

UTADHANI MVUTA SIGARA KALI.

Sasa jamaa yenu karikorogaaa alinyeeee, kuropokaaaa kumezidiiii, kila maneno yake kumii lazima Tisa yawe nimatusiii. Halafu anajiita msomii. Anataka uraisi.
Hatuwezi kupeleka kiwanda cha mtusi ikuruuu. Hovyo kabisaaaa.

Hivi Yule Mzee aliyeuza jogoo akahaidiwa mke... Alishakabidhiwa au bado?
 
Magufuli hana point na wala hawezi siasa. Tena Lisu anatakiwa arudie kila mara kuwa yeye sio wa jalalani, awape hao wa jalalani. Eti katukana watumishi wa umma, kwani watumishi wa umma wameteuliwa na rais? Hao watumishi wa umma wapo kabla Magufuli hajawa rais, na wataendelea kuwepo bila uwepo wake madarakani. Hao viazi anaowateua ndio kawatoa majalalani. Hili linaeleweka vizuri wala halihitaji ufafanuzi, labda kwa vilaza kama ww.
Wanadhani watumishi ni wajinga kiasi hicho,kwamba wanaweza kuingizwa kwenye mtego huu wa propaganda mfu ili wajenge chuki na Lissu na wasahau tatizo la msingi ambalo ni kusahaulika kwa haki yao ya kupandishwa mishahara kwa miaka 5 lakini pia kuambiwa wazi kuwa wasahau!Adui wa watumishi wa umma anajulikana!
 
Ccm wamebanwa, hawana cha kuongea zile habari tumenunua ndege, sio habari tena kwenye kampeni zao, tumejenga fly over sio habari tena, tundu Lissu anawachapa huko huko. Sasa wamebaki kusikiliza hotuba za Lissu na kwenda nazo kwenye majukwaa yao. Wamebanwa sana kwenye miji mikubwa, zile 52% alizopata mwaka 2015 hawezi kuzifikia tena .
 
Back
Top Bottom