Acha kuwa mtumwa wa lugha za watu wewe. China wanatumia lugha yao ktk elimu na wapo mbali sana. Kuna Urusi, Irani, Uturuki, Saudia, ujerumani, ufaransa, uingereza, Wote wanatumia lugha zao za asili kufundishia na wapo mbali sana kiugunduzi, kiutafti na kimaendeleo. Usipende kuwa mtumwa wa fikra...