Recent content by sarcomere1

  1. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania KERO Mashine ya MRI Mloganzila Hospital ni MBOVU

    Vyama vitavoshiriki uchaguzi ni 18, kila mgombea amepewa V8 inamaana hyo pesa iliyotumika ingetupa MRI 18
  2. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania KERO Mashine ya MRI Mloganzila Hospital ni MBOVU

    Yani uzi kama huu siku ya pili hii una comment 12?
  3. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Umeso.a Umesoma kozi gani? Tuanzie hapo kwanza
  4. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Numetumiwa ujumbe na Yas kuwa kuwa nimezawadiwa GB 8 bure, lakini 30 mbona sizioni kwenye salio?

    Hata mimi natumiwa meseji kama hiyo ya mleta uzi, na ninapojiunga kifurushi cha 2000 hakuna ninachopata Zaid ya mb 949 tu
  5. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

    Mi naomba kueleweshwa hapa 250,000tsh ni sawa na 12,887.5ksh Kwa Tanzania hiyo 250,000 ninaweza kupata LED TV inch 32, je mkenya akiwa na hiyo 12,887.5 anaweza kununua LED TV inch 32? 1.Kama jibu ni ndiyo inamaana hatuna tofauti 2. Kama jibu ni hapana inamaana tumewazidi 3. Kama jibu ni anaweza...
  6. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Me naomba kufahamu, wanatumiaje taarifa za NIDA kupanga matokeo ya uchaguzi?
  7. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    Kati ya koboko na cobra yupi ni hatari zaidi?
  8. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Naona wanahitaji $60 application free ili kuendelea
  9. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Umefanyaje mkuu kupata iyo scholarship?
  10. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Unafanyaje kuclaim scholarship?
  11. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    Kazi ya mwanamke ni kukutuliza ukiwa umechanganyikiwa na kukuchanganya ukiwa umetulia
  12. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Unavosema bure kabisa unamaanisha nini?
  13. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

    Binadamu tuna hulka ya kupenda vitu ambavyo havipatikani kwa urahisi, maisha yamekosa ladha kwasabab vitu vingi vinapatikana urahisi. Zamani kunywa soda ni hadi sikukuu za Eid, Christmas nk ukinywa soda Yani utamu hadi unausikilizia..sasa hv kila muda wa chakula mtu anakunywa na soda hapo ladha...
  14. sarcomere1

    JamiiForums Tanzania Madaraja ya mishahara

    Hii tabia ya kila mtu akileta uzi humu kusema rafiki yangu, mtu wangu wa karibu, jamaa yangu inatokana na nini, kwani ukisema niwewe kuna shida gani
Back
Top Bottom