Recent content by saramy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

    Duuu....wa mwanza! Huyu ndiyo bure kabisa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Pasco pasco.....ndiyo maana ulikimbiwa na wife!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma afuta posho za vikao

    wengine ni vihiyo....wanatafuta sifa tu!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya akilemaa, Naibu atamfunika na kuchukua kiti

    Kigwangwala bado anavaa ule mkufu wake wa dhahabu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka, tunaomba majibu hapa tafadhali

    zao la CCM....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Kigwangwala ni mtaalamu wa MIDAHALO NA MARIA SARUNGI kwenye afya anafanya nini? Mpendwa JPM hapo ulipotea step hata kama ni homeboy wangu!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naanza kuiona haja ya "semina elekezi"

    Khamisi Kigwangwala anafanya nini wizara ya afya? Kuviziavizia tu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    wabunge ,maDC kama MAKONDA...inatosha!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    kigwangala ni mzigo tu.Kwani kero za wagonjwa ni kuchelewa kufika ofisini? Tumemchoka .....hana jipya bora akaendeleze NGO yake!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    watanzania tuache umbumbu na ushabiki wa kijinga. Hizo sababu nyingine ni zipi...!! Tatizo la Zanzibar mnaliona kuwa ni la mzaha? Ukweli waheshimiwa Lowassa na Mbowe na UKAWA kwa ujumla waliona mbali...ELIMU....ELIMU...ELIMU! VIVA LOWASSA.....VIVA UKAWA!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utafikiri nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita

    billion 900 za kutumbua maisha au kwa maendeleo ya nchi??
  12. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli afumua sheria ya manunuzi

    pengine hakujua ilikuwa inahusu nini!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea ashinda kesi dhidi ya Masaburi

    makonda mganga njaa tu...kibaka wa karne!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Ufafanuzi wa Elimu yake

    jk katusaidia kutafuna nchi.....ulitakaje?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Makonda ni mtoto kama wengine....akibalehe ataacha!
Back
Top Bottom