Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wadau.

Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.

Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.

Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.

Sabas ni hazina ya Polisi.
 
Hakuna, ni zamu ya Muislam! Ha ha ha Haa Kikwete bwana!
 
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA

SIMON SIRO

yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana

NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE
 
Wadau.

Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.

Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.

Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.

Sabas ni hazina ya Polisi.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba kigezo cha kiteuliwa kuwa IGP ni kusimamia uchaguzi? Jaribu kupanua wigo wa ufahamu wako kwenye mambo ya msingi
 
Hili nalo ni jambo la Msingi (japo tunayofautiana tafsiri ya nini la Msingi)....

Uchaguzi ni kipimo kizuri sana kuonesha uwezo, hekima na busara katika maamuzi.....uchaguzi huambatana na mambo mengi sana ambayo kwa namna moja au nyingine hubeba hisia kali na wakati mwingine misukumo kutoka pande zote ikiwamo "mamlaka za juu"...

Mara nyingi tumekuwa tukilaumu Polisi kutumia nguvu nyingi na hata kujivika majukumu yasiyo yao wakati wa uchaguzi....

Hivyo kuweza kusimama kati na kuonesha professionalism ni jambo linalostahili kutambuliwa
 
Uchaguzi ni tukio la msimu pamoja na kwamba linaweza kuwa na impact hali ikivurugika but kumbuka iwapo system imeshaandaliwa usimamizi wa uchaguzi hata wewe unaweza. Jeshi la Polisi lina majukumu mengi sana ya kila siku na ambayo yanahitaji ubunifu nje ya maelekezo kutoka uongozi wa juu kwenda kwa ma RPC. Hapa wakupongezwa ni wanasiasa na wafuasi wao kwa kuonyesha siasa za kistaarabu na utii wa sheria bila kusukumwa.
 
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA

kamanda BARO

yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana

NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE

Alishariki ndugu
 
Wadau.

Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.

Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.

Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.

Sabas ni hazina ya Polisi.

Kwa vigezo vya ccm huyo ndiyo hafai kabisa.
 
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA

kamanda BARO

yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana

NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE
Barlow yupi tena mbona unayemsema ameshakufa mwaka wa tatu huu na aliuawa huko Mwanza
 
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA

kamanda BARO

yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana

NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE

Mkuu baro yupi unayemzungumzia weye....
au unamaanisha kamanda baro wa msoga...?
 
Last edited by a moderator:
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA

kamanda BARO

yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana

NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE

Duh, uko sayari ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom