Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,358
- 28,002
Kwani haya wanayoyafanya wameyapata wapi kama sio kufuata nyayo za bwana mkubwa wao? Unataka semina elekezi gani? Unategemea rais atawaelekeza nini zaidi ya hayo hayo wanayotenda? Unataka awaelekeze mara ngapi kama ameshawaelekeza kwa vitendo alipofanya hivyo hivyo hazina na muhimbili? Mmeanzaaa!!!!! wakati wa kitwete milisema watendaji ndiyo wabaya yeye akabaki kama malaika! Sasa waziri amewaeleza cha kufanya kwa vitendo watendaji wanatekeleza mnasema awapesemina elekezi!!!! mpaka sasa kuna tofauti gani ya wanayofanya mawaziri na rais? Hapa Kazi tu!
Mimi naona il hotuba aliyotoa siku alioungua bunge inatosha kuwa SEMINA ELEKEZI. Mawaziri na watumishi wengine wa umma Ila mmiliki wa Ngurdoto hotel hawezi kufurahi hata kidogo maana zilitengwa 2bl!