Sio jambo la kufurahiya jamani....Mungu atusaidie sana. ila ndugu usi question imani za watu khs utume na unabii muache Mungu mwenyewe ahukumu cha msingi if you are happy where you are ..well and good..waache wanaotafuta kushiba chakula cha kiroho zaidi as long as kuna amani..but it is more than...
sasa na mimi nisiyekuwa na DSTV wala Zuku na hivyo vin'gamuzi vingine....just moved house and I'm kind of thinking to buy one of them ...my question is..Will I be able to view DSTV channels without having the so called ungo or i have to negotiate on their terms and conditions? I'm finding it a...
pole...tujifunze kujitegemea jamani vya bure mpaka lini.. I wish ungeulizia hata someone who is affordable to do for you. sasa kama hela unayo yaramani inakushida... acha hizo. Cheap is always expensive another thing is.....unajua ramani ya nyumba is something so specific for a particular...
Itakuwa fundisho kwa wengi namshauri akamuone family DR wake coz you never know. hawa wanaume nao wamezidi sana wangeacha kuwachukuwa chukuwa mbona hiyo biashara ingekwisha. Mungu amsaidie sana iwe ni mwanzo na mwisho na amrudie Muumba wake.
Unaweza uka take your time and google several samples for writing a c/ letter and eventually you will be able to know what to include on the c/letter. Jitahidi na kuwa wakujitafutia but not too bad kuuliza. Do not forget to put your signature at the bottom....au siyo another thing is be precise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.