Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 118
Wandugu huwa nakereka sana kuona mtu anauliza kitu cha maana kimsaidie wengine wanaleta mjadala wa wanasiasa na matusi. Huu mtandao mbona sasa tunaushusha heshima yake? (The home of Great Thinkers) Sio fresh masela. Bigup Mafuruto na Asha Dii kwa comments zenu za awali nimeona zimejitosheleza kabisa.