TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Mkuu utamu wa haya mambo ni kuandaana,vinginevyo hakuna maana kabisa!!I also noted some thing!hapa ni mnakubaliana!unam'do'!then unalala mbele!hakuna kumwandaa wala nini!

hapa hapanihusu, nnapita
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.
on top of that wakifika wawe wanaenda kuoga nao!!wahakikishe wanaoga au wanawaogesha kabisa huenda itasaidia!!du, pole zake,
hii imewapata wengi sana , sema hawaibiwi magar, sasa sana ni sim na pesa na vutu vingine km lap top nk.
ushauri unapo plan kwenda kujiliwaza na hawa viumbe ni marufuku kutembea na vitu vya thaman
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.
mzabzab upo??
Mkuu hilo utalifanya kwa mpenzi/mke wako tu!!kwa hawa ma'machinga' hilo halitawezekana!!utaambulia maumivu kama huyu ndugu yetu!!:nimekataaMkuu utamu wa haya mambo ni kuandaana,vinginevyo hakuna maana kabisa!!