Recent content by sanyaji

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Ni ofisi ndogo ya CCM siyo Ikulu
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Kwani mpaka Sasa Saido Ana magoli mangapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania William Ruto hana maadili msibani

    Kwani huo msiba wa Nani?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Kwa sababu Hao wanajitangaza? Usiwadanganye watu hata huko wako sengi sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Amina barikiwa mtumishi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Daraja La Kigongo ~ Busisi

    Safi sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Musukuma adai yeye ni bilionea

    Asiwadharau wasomi,kwani hata yeye anawategemea wasomi,kama wote tungetegea na kuishia darasa la Saba? Hao madaktari wa kutibu watu wangetoka wapi wahandisi na wataalamu mbalimbali wangetoka wapi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, Yuda Alikufaje Na Alienda Mbinguni?

    Uko sahihi kabisaYuda hakujus SAA hii ya Yesu kusulibiwa ilishatimia, loss la Yuda siyo kumsaliti Yesu, Bali kosa lake kubwa ni kujinyonga, alikuwa na nafasi ya kutubu na kusamehewa kama akina Petro
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna njia nyingine tofauti na madhabahuni ya kutubu zambi zangu nzito kimya kimya.??

    Kutubu dhambi ni kufanya Toba, Mara nyingi Toba inafanyika Kwa watu wengi,hasa Kwa wakristo, ili watu wajue kwamba umeacha dhambi
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Wewe shabiki wa Yanga au kolo,Acha kudanganya watu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

    Hivi mtu na akili yako mganga anakupa sharti ukambake mtoto wako,hivi yeye alishafanya hivyo,au akiambiwe afanye kitendo hicho Kwa mwanawe atafanya?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni 'Injili hiyo hiyo' ama ni Injili nyingine?

    Wewe unayeleta mzaha kwenye neno la Mungu,soma Mithali 1:26
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutokana na changamoto ya Ushoga, nini kipo kipo nyuma ya pazia Dunia?

    Hii ni kuonyesha namna gani dunia yetu ipo ukingoni kabisa,wenye hekima wote wanajua muda uliobaki ni mdogo Sana,hatuna miaka mingi kabla muhukumu ulimwengu huu ambaye ni YESU Kristo mwenyewe kuonekana katika mawingu,kama vile watu wa Galilaya walivyoambia Mndo1:9_10, huyu YESU mnayemuona...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

    Siasa za maji taka
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

    We're kuruta uliyevaa greenest ya kijani kuja hapa
Back
Top Bottom