Recent content by Santana

  1. Santana

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Nyumba ya Chini Kua Ghorofa kwa Kuongeza Nguzo na Tofali za Kulaza?

    Unagusa structure ya jengo hapo. Kwa usalama wako na watakao kuja kuishi vunja anza kujenga msingi upya utakao weza himili hilo ghorofa
  2. Santana

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

    Naomba tuwasiliane kiongozi 0621021782
  3. Santana

    JamiiForums Tanzania Kitasa kama hiki nitakipata wapi kwa DAR?

    Kwa Mahitaji ya milango ya Hardwood(Mninga, mkongo nk.) pamoja na fittings zake Tuwasiliane 0621021782
  4. Santana

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Ungekuwa na kiwanja 50m ingekamilisha kila kitu kwa ramani hii. Kw 35m nafanya yafuatayo 1:Kujenga boma na kupaua 2:Eletrical & Plumbing installation phase 1 3:Grill na Frame za milango 4Plasta ndani na nje. Kwa Ushauri zaidi, Ramani pamoja na makadirio yake, Usimamizi wa ujenzi pamoja na...
  5. Santana

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani!!!

    Badala ya watu kupandisha zege juu na vindoo hii huwa mounted juu na ndo inatumika kama winchi ndogo inatoa zege chini kupeleka juu.
  6. Santana

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani!!!

    Yes, inatumika mara nyingi kwenye kumimina slab na ndo nahisi mwandishi anataka ya kazi hio
  7. Santana

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Anza na ramani kwanza, tafuta mtaalamu akuandalie then peleka kwa Qs akupe estimate
  8. Santana

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba

    Angalia dm yako Chief
  9. Santana

    JamiiForums Tanzania Mbao za kuezekea

    Kama mfuko unaruhusu sogea pale Sao Hill wanakupa na waranty kabisa
  10. Santana

    JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Kwa Dar kama kiwanja kiko tambarale 15m-18m unajenga na kupiga bati.
  11. Santana

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Wasiliana nasi 0772951334
  12. Santana

    JamiiForums Tanzania Naomba makadirio ya mjengo huu

    300m kwa dar
  13. Santana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

    Mi naitwa tapeli uku nilishazoea naona freshi tu
  14. Santana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Sio kwa dada zangu wa kingoni ata uumkute katoka lituhi wana kiburi hatari
  15. Santana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

    Anachoongelea mtoa uzi ni kupunguza imposed load
Back
Top Bottom