Kiwanja kipo lakini?Wazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
300m kwa darWazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
Mnapataje gharama hata bila kujua idadi ya vyumba na spaces nyingine za ndani?Millioni 220-330 inachezea humo
Pesa ndogo sana🥴
300 to 350 million full stop wasikuletee mambo ya Mwijaku.
Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa hamna
Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa