Evely my dear lets face facts here, kuna shule wanafunzi wanachapwa kuliko maelezo, na hizo shule kiburi chake ni kua zinafaulisha vizuri, mtoto wa dada angu kasoma Moshi Airport nahisi inauhusiamo wa karibu na hio bendel trust me alikua akirudi chozi linakutoka, and she is veery bright, mature...
Oh Lord, so simply because sm1 is not using his or her real name auto mawazo yake yanakua shallow?? Oops, and is LE MUTUS ur real name? Cuz handke yako IG inajina hilo
Unaamini kuna watu wengine wanapenda kubaki anonymous? And anaeza akawa na ID tofauti na jina lake ila hatukani? And amefikiria faida na hasara za kujiexpose mtandaoni, mf ww maisha yako unayaendesha kwa biashara ya mtandaoni so I guess ts fair kujiexpose, pima mtu anachoongea.. mf I personaly...
Whast ur problem with a person using "fake" ID ilhali hatukani, anaku question kwa hoja au anakuuliza maswali? EG i use santa diaba, inamaanisha broken angel, and ts not fake ila ina maana ktk maisha yangu, I guess t is high time ujitahidi kujibu hoja,
Friendship with benefit ni watu wanapoamua kua na uhusiano usio na hisia yaan ww na rafiki yako, mnakua commited ila kwenye kumegana kisela, wazungu wanasema no string attached
Wana jamvi,
Kuna hiki kitabia ka FWB(Friendship With Bennefit) naona kazidi kuota mizizi, siku hizi imekua kama fassion ya marafiki wa jinsia tofauti kua na uhusiano wenye faida kimwili, sasa embu wenye ma uzoefu tupeane faida na hasara zake, mwisho wake unakuaje.
Nimekubali kua inaweza kua picha nanhabari ni vya kutunga, ila vike vile inaweza kua ni kweli.. na sijakataa kua unaweza kukuta mpare anamnyanyapaa mnyakyusa vyote nakubali.. ndo maana nilianza kukuuliza kua umeshawahi kusikia casez hizi?
My point is kama kuna hilo tatizo lisibishiwe ila liwe...
Nina TATIZO la kutokuchanganya MADA siku kukiwa na uzi wa wadada wa ndani wanaoteswa na wabongo usijali nitachangia maana wapo wa kutosha... topic on the table ni wa uarabuni BTW mpaka u eniquote t seemz nimechangia ryt?
Abdul, swali ukiachana na case hii je umeshawahi kusikia casez mbali mbali za watu kuteseka UArabuni? Persinaly nimewahi kusikia nyingi kiasi, nimeona baadhi ya video ya yule mdada wa kikenya aliekua anachapwa na waarabu, huku katundikwa kama mfugo, nimeshawahi kusimuliwa na mtu kua mama ake...
Hahahaaaa OMG, huyo Diamond several times anaropoka tu, angalia interviews zake, and unfortunately hao wadada hawajibugi vibaya... na mjifunze kusoma basi we ndorobo, me sijasema kama kasema au hakusema
Nimeona chief 😂😂 ila as much as team zote zinqnikera IG ila kuna watu acha tu vichambo viwahusu.. maana mtu unashindwa kujiheshim acha vitoto vya form two B vikuadhiri
Nakumbuka wakati nakua nikisikia neno MKE WA MTU auto akili yangu inaleta picha ya mwanamke mmoja anaejiheshimu, na ndo kweli ilikua hivi ila siku hizi sasa hao wake za watu(sio wote thou wengi) hawana tofauti sana na machangu au wale wanawake waliozibuka,,, hivi mtu mzima ulioelewa UNAANZAJE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.