Recent content by sanjomnyama

  1. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje nataka nimsahau lakini yeye ananikumbuka kila mda...nashindwa kabisa

    Ahsante kwa ushauri mkuu
  2. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje nataka nimsahau lakini yeye ananikumbuka kila mda...nashindwa kabisa

    Nikweli lakini kwa alichonifanyia Bora aende tatizo ni pale anaponitafuta ovyo
  3. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje nataka nimsahau lakini yeye ananikumbuka kila mda...nashindwa kabisa

    Sawa kaka
  4. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje nataka nimsahau lakini yeye ananikumbuka kila mda...nashindwa kabisa

    Habari za Majukumu ndugu Zangu.... Hapa naomba mnishauri njia za kufanya niweze kuachana nae na kumsahau kabisa huyu binti Bila kupoteza muda nianze na kusema .,Kuna binti mmoja aliyekuwa Girlfriend wangu takribani mwaka sasa ,Lakini niliamua kuachana naye Baada ya kujua tabia zake ni chafu na...
  5. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kujua tofauti ya Mac book Air na Mac book Pro

    Shukrani mkuu
  6. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air?

    Shukrani sana mkuu.., ngoja jamaa akileta niikague kwanza.
  7. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air?

    Yaani kuanzia mwaka upi ndo nzuri??
  8. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air?

    Ahsante mkuu kwa hiyo nichukue ya mwaka gani sasa kama ni hiyo Mac Pro.??
  9. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kujua tofauti ya Mac book Air na Mac book Pro

    Habarini za mchana ndugu zangu., Naomba kueleweshwa kwa mwenye kujua tofauti kati ya (Mac book Air na Mac book Pro)(apple) maana kunajamaa anataka tufanye biashara na mimi sijui ipi nzuri na inayoendana na wakati.Ahsanteni
  10. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air?

    Wakuu habari za mchana, Naomba kueleweshwa kwa mwenye kujua tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air (apple) maana kuna jamaa kaniambia anayo na mimi nahitaji mac book so sijui ipi nzuri maana nashindwa nimuulize ni ipi kati ya izo ni nzuri au inaendana na wakati.Ahsanteni
  11. sanjomnyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

    Hahaahaaha aya nawasikilize nyie
  12. sanjomnyama

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Haki ya Mnyonge haipotei daima
  13. sanjomnyama

    JamiiForums Tanzania Helicopter zinasafirisha nini muda huu Dar?

    Sio dar tu mkuu hata hapa Arusha zimepita 2 mida hii na nadhani zipo around tu
  14. sanjomnyama

    JamiiForums Tanzania ITV napenda niwapongeze kwa app yenu katika simu

    Ahsante mkuu
Back
Top Bottom