Recent content by sanjally1

  1. sanjally1

    Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Mafanikio yapo na ni makubwa ila siku hizi kuna changamoto sana ya adslimit,hii ndo inawakwamisha watu wengi wa blog na app zenye matangazo ya google adsense/admob kupishana na pesa kwa siku hizi Ila mara nyingi kama una traffic ya SEO huwezi ona hizo changamoto we utapiga pesa tu maisha yako yote.
  2. sanjally1

    Kuoa ni lazima?

    Fanya uoe kwanza umuhimu wa ndoa utauona kwenye maisha ya ndoa
  3. sanjally1

    Jamaa anamfuatilia mke wangu

    point ya msingi sana chukua hii
  4. sanjally1

    Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    msamehe tu ila muonye asirudie kukuficha ficha chochote kile kinachokuhusu directly ama indirectly
  5. sanjally1

    Hivi mihemko huwa inawajia saa 24 tu baada ya kututongoza?

    huwa tunawaita tu mje kupajua nyumbani,ila cha kushangaza mnabeba na khanga kabisaa kwenye mkoba[emoji23]
  6. sanjally1

    TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

    Imeanza kunyesha maeneo gani
  7. sanjally1

    GE2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    Safi sana vijana kupiga kura ni haki yenu ya msingi
  8. sanjally1

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Mkuu,website yako mkwanzania.com kwa sasa haipo hewani je napataje mafunzo mengine? Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
  9. sanjally1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nini kinasababisha mpaka tanesco muwe na upungufu wa Nguzo kiasi kwamba mteja anacheleweshwa huduma ya kufungiwa umeme miezi kadhaa baada ya kulipa fedha yake na kukamilisha taratibu zote za kiofisi? Hili tatizo lipo hasa tanesco mbagala.
  10. sanjally1

    TCRA inapenda kutoa ufafanuzi wa Maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa juu ya Usajili wa blogu

    Ishu ya youtube channel mbona hawajaiongelea hawa jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sanjally1

    This One is 4 You. Tengeneza Pesa Kwa Kumiliki E-Store Kama Yangu na Uuze Kitu Chochote Unachotaka. No Time to Waste. And Yes, It is Very Affordable

    Unatumia multiple ids unataka tukuprove vipi mzee,mods watakushughulikia tu very soon wao ndo wanaweza kuona devices zako unazotumia,email zako na taarifa zako nyingine na kureletisha juu ya hizi tuhuma,please mods fanyeni uchunguzi makini ikiwezekana muwasiliane na watu waliocoment juu ya swala...
  12. sanjally1

    This One is 4 You. Tengeneza Pesa Kwa Kumiliki E-Store Kama Yangu na Uuze Kitu Chochote Unachotaka. No Time to Waste. And Yes, It is Very Affordable

    Hawa hapa wengine ambao uliowatapeli,why waje kukoment hivi kwenye thread zako na sio za mwingine,angalia screenshot below
  13. sanjally1

    This One is 4 You. Tengeneza Pesa Kwa Kumiliki E-Store Kama Yangu na Uuze Kitu Chochote Unachotaka. No Time to Waste. And Yes, It is Very Affordable

    Hutuhumiwi ujinga,thibitisha kwamba wewe sio mwenye hizo ids nilizozitaja hapo juu kisha ndo ukane haya nayoyasema.halafu kwani mm ndo wa kwanza kukuita ww ni mixed frank??,huoni kwamba watu wengi wanakutuhumu,why iwe wewe tu na sio mwingine.dhambi zako ulizofanya huko nyuma zinakutafuna kwa...
Back
Top Bottom