Recent content by Sango de Mario

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mary kihanga naomba elimu ya ufugaji hao kuku wa asili na faida zake
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Unaoitwa mwenge wa uhuru umekua adui yetu mkubwa. Garama za uendeshaji wa mbio za mwenge ni mchwa namba moja kwa kodi zetu. Mikesha ya mwenge inatawaliwa na ULEVI na NGONO:- Uenezaji mkubwa wa VVU.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Usitumie M-Pesa kutuma fedha Tanzania

    Watu wa TCRA wapo kwa ajili ya kusimamia maslahi ya ccm kwenye chaguzi tu. Hayo mengine tunajisumbua. Kuna malalamiko mengi sana lkn sijawahi kusikia yakifanyiwa kazi isipokuwa juzi kwenye general election ndiyo niligundua kumbe TCRA wapo na wanafanya kazi!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    mtoto wa maskini unataka kusema HIP POP siyo kufoka! Hahahahahaha
  5. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Fid Q anasema yeye ni mfuasi wa Chindo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Hivi Cheyo mzee wa kumwaga mapesa yuwapi siku hizi na anafanya nini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Hata mtoto wa sister ananiita uncle Sugu
  8. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Hivi AY naye anafanya HIP HOP???
  9. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    AY???!!! Hapana, sidhani wala sikumbuki kama nimewahi kumfikiria. Kidogo Binam Mwana Fa tena zamani SIYO siku hizi aimbazo taarabu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Watengwa family, Nako 2 Nako, Prof J, Afande Sele kabla hajaanza kuvua nguo kwa jukwaa, Mwa Fa kabla hajaanza kuimba mipasho, hata mtoto wa sister ananiita uncle Sugu!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kufa mapema

    Kuna researches nyingi nimewahi kuzisoma zinaelezea hili la wanaume kuwahi kufa kabla ya wanawake, siyo tu kufa bali hata kuzeeka kimwili. Yaani utakuta mke & mme wamepishana miaka michache lkn ukiwatazama unaweza dhani mke ni 1st born wa mme!
  12. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    JCB ninamchukulia kama bwana mdogo wa Chindo
  13. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Ninafikiri Nje ya Mada yuko sahihi na ndiyo msingi niliotumia kusema sidhani kama #4&7 wako na hadhi ya kuwemo kwenye hii list.
  14. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Kweli # 1 & 2 ziko vice versa, alafu # 4 & 7 sidhani wanastahili hii hadhi waliyopewa ya kuwemo kwenye hii list.
  15. S

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    Nafsi yangu inaniambia Chindo aka Umba mzee, mzee wa WATENGWA kasahaulika hapo.
Back
Top Bottom