Recent content by Sangarara

  1. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

    Ukiwa unamaanisha kwamba au Yesu Hakufa ama hakufufuka?
  2. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

    Maswali ya mwanzo. 1. Kifo ni nini? 2. Kafara ni nini?
  3. Sangarara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pakifanyika Reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, Watanzania wanaweza kuiamini na kuipigia kura CCM, tuondoe hofu

    CCM Imechaguliwa na wananchi uchaguzi wa mwaka 2005, chaguzi zote zilizofuatia waliiba.
  4. Sangarara

    JamiiForums Tanzania CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

    Aanze na Siasa za Kikampeni sasa sio akomalie mabadiriko ya mfumo wa uchaguzi pekee, hilo ni eneo moja tu kwenye mengi yenye mapungufu makubwa. 1. Kuna issue ya Uchumi wetu kuwa mikononi mwa wageni. Anasemaje bila kukewa wawekezaji serious. 2. Tatizo la Ajira. 3. Mfumo wa Elimu. 4. Kilimo 5. n.k
  5. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

    Sampling yako iko poor sana.
  6. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Hawa watumbiliwe

    Mwigulu ataonewa bure. huyo ni msomaji wa bajeti tu. hii nchi sasa hivi inaongozwa kwa maelekezo kutoka unguja. Yaani kama vile magufuli alivyowekeza chato ndivyo sinavyotafutwa pesa za kuwekeza unguja.
  7. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

    Hiyo dreamliner unajua ina hali gani sasa? Hata CCM wenzako watakushangaa kuizungumzia muda huu
  8. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Dr.Bashiru ni wakili msomi Fatma a.k.a Shangazi

    Anachokisema Bi Fatma kina make sense au hapana?
  9. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Amua kuwashangaza unaowaongoza hapo hapo ulipo

    Kwanza hamna raha kama kuhudumia watu mpaka wakafurahi aisee
  10. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi kwa nini hatumuapproach marcelo
  11. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Benki ya Kilimo naomba kujibiwa maswali yangu!

    Hii lending model ya Mabank ya Jumla na Rejaleja ni porojo mkuu Tena unakoaea kuihusisha na Finca, unapoint juu ya watu kutokuelewa hiyo Bank ya kilimo inavyofanya kazi, ila sio namna unavyoelezea.
  12. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    kanistua msigwa Anadai serikali inakopa commercial hata inalazimika kuanza kulipa kabla mradi haujakamilika What a stupid finance strategy. Hiyo mikopo ichunguzwe isijekuwa na ma commission kama ya kina Kitilya.
  13. Sangarara

    JamiiForums Tanzania Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    Watu aina ya msigwa ndio wanaopaswa kutuongoza watanzania ktk dhama hizi ambazo mataifa yanaweka nguvu kubwa kwenye ushindani wa kibiashara. Kawachallenge kuhusu umeme Anadai Tatizo letu sio upungufu wa umeme, umeme tunao wa kutosha, tatizo ni kuuhamisha kutoka uliko uende kwa watumiaji...
Back
Top Bottom