Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

Nimependa ushauri wa Mhe. Msigwa. D by D inaonekana inaondoka.
 
Daaah mchungaji kapiga nondo za uhakika kimya wotee
 
hahahahah mnafiki huyo akikutana nao hadharani ana sifia tuuu
 
Aiseee kumbe inaonekana makusanyo ya TRA enzi za Mkwere yalikuwa vizuri zaidi
 
Tuna watu wana vichwa vizuri sana hii nchi, msigwa ni mmoja wao

Uwezo wake wa kuchambua na kuelezea mambo uko juu Sana.

Lakini haya mambo ya kuchukia watu sababu wanalipwa mishahara mikubwa hawakuanza hao jamaa wa milioni tisini, alianza mheshimiwa rais na wengi walimshangilia wakati huo huo wakitaka arsene wenger asajiri majina Makubwa.
 
Nimeipenda dhana ya "Poverty Mentality". Mtu anapata milioni 96 kwa mwezi wewe unachukia eti "anapata hela nyingi sana" unasahau kwamba ni mtaalamu, analipwa kutokana na mkataba, tatu, milioni 30 analipa PAYE. Pia amesema tu"encourage" watu wengi walipwe vizuri namna hiyo.
 
Hawa ndio wazalendo. Kawaambia ukweli sio kila kiongozi anaamua anavyotaka.

Tatizo la hao watu ni vichwa ngumu, ndio maana mipango mingine haitekelezeki.

Watamaliza miaka 5 kumbe wanawatengenezea wananchi mzigo wa kulipa madeni na walichokifanya hakuna.

Miaka mitatu tunaimba viwanda vikowapi.
 
Kawachallenge, wafanye comparable disclosure ya corporate tax during the fourth government and fifth government

Hawatakubali kamwe
 
Watu aina ya msigwa ndio wanaopaswa kutuongoza watanzania ktk dhama hizi ambazo mataifa yanaweka nguvu kubwa kwenye ushindani wa kibiashara.

Kawachallenge kuhusu umeme
Anadai Tatizo letu sio upungufu wa umeme, umeme tunao wa kutosha, tatizo ni kuuhamisha kutoka uliko uende kwa watumiaji.

Lakini serikali hii inakopa matrilioni ya hela kwa ajiri ya kuzalisha umeme

Anahoji, mamegawatt yote hayo ya nini?
 
kanistua msigwa
Anadai serikali inakopa commercial hata inalazimika kuanza kulipa kabla mradi haujakamilika

What a stupid finance strategy.

Hiyo mikopo ichunguzwe isijekuwa na ma commission kama ya kina Kitilya.
 
Back
Top Bottom