Recent content by sandman

  1. sandman

    Msaada: Ninahitaji formula ya usagaji wa chakula cha Kuku

    Formula yake inatoa chakula bora cha kuku? Maana formula ikiwa haijakaa vizuri kuku huchelewa kutoka na kuishia kudumaa. Sent from my iPhone using Tapatalk
  2. sandman

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    [emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️
  3. sandman

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilinunua umeme kupitia Mpesa na nikapata tokens lakini zinagoma, nimeakikisha number zote zipo sawa ila bado. Nikanunue mwingine na ukakubali. Nafanyaje kutatua tatizo hilo?
  4. sandman

    Msaada: Ninahitaji formula ya usagaji wa chakula cha Kuku

    Habari wakuu? Nina uhitaji wa formula ya usagaji wa chakula cha kuku wa Broiler na Layers..
  5. sandman

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii ratiba ya ukataji umeme maeneo ya Tabata kwa siku mbili za week ratiba ya kwanza nadhani ilisema inaishia Tarehe 7&8 November...naona leo umeme umekatwa siku nzima na inasemekana pia kesho..inayoashiria ratiba ya siku mbili kwa week inaendelea?
  6. sandman

    Kazi ya kufuga kuku

    Inabidi utoe maelezo yanayojitosheleza ili uweze kueleweka vizuri, vitu kama.; 1. Mahala pa biashara/ufugaji (mabanda yapo? Ya kwako au unahitaji aliyenayo au ndio ujenzi inabidi uwe ndani ya makubaliano) 2. Mtaji 3. Aina ya mkataba( unahitaji mtu wa kuajiri kufanya nae kazi au partner katika...
  7. sandman

    USHAURI WA BURE:O-LEVEL ukifaulu achana na A-level nenda Diploma

    [emoji1474][emoji1474] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sandman

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Point yangu ni kuwa nimesoma masharti ya bonus account nikawa najiuliza kama ni ki-apply for bonus hiyo 30$ inawekwa kwenye hiyo UniversalFX account au napewa separate logins.? Maana kama itakuwa imeonganishwa na hiyo UniversalFX then masharti nayo yanakuwa applicable?
  9. sandman

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kama umefungua UniversalFX account kwa Templer na unataka kuchukua Bonus kwa redeem code itakuwa joint account au kila moja inajitegemea?
Back
Top Bottom