Msaada: Ninahitaji formula ya usagaji wa chakula cha Kuku

sandman

Senior Member
Jun 19, 2014
197
27
Habari wakuu?
Nina uhitaji wa formula ya usagaji wa chakula cha kuku wa Broiler na Layers..
 
Hiyo ni njia ya ufugaji wa kizamani; jifunze namna ya kuuandaa chakula cha kuku kwa kutumia teknolojia ya Hydroponics; unaandaa fodder yenye tija kwa gharama nafuu. Tuwasiliane nikupatie kitabu cha maelekezo hatua kwa hatua.
 
Asante mkuu, nakuPM.
 
Habari wakuu?
Nina uhitaji wa formula ya usagaji wa chakula cha kuku wa Broiler na Layers..
Formula ya Chakul cha kuku sio Ishu sana hata wewe unaweza buni yako na ikafanya vizuri tu.

Tatizo kuu ni kujua DCP.

Digestive Crude protein. Hii inapimwa kwa mashine pekee. DCP ndo huamua ubora wa chakula.

Mfano Vifaranga lazima DCP iwe kwenye 22% sasa hiyo 22% huwezi kamwe na Daima kuipima kwa macho bali lazima utumia mashine maalumu ya kupimia Protein.

Vinginevyo unaweza tengeneza chakula kwa ajili ya layers kumbe kikawa na kiwango kikubwa sana cha DCP ambapo ingefaa wapewe vifaranga au Broiler finisher
 
Nyie ndio mnafanya wenzenu wasifanikiwe. Hata kama DCP inapimwa, haiwezi kuwa inapimwa kwa kila mfuko. Dagaa wa mwanza wanajulikana, mahindi ya kibaigwa pia, alizeti ya singida kadhalika. Primix, lysine, methionine, toxine binder n.k ni standard. Kwanini isiewzekane kuzalisha chakula cha kuku?
 
Nyie

Nyie ndio mnafanya wenzenu easifanikiwe. Hatakama inapimwa, haiwezi kuwa kuwa kwa Kila mfuko. Dagaa wa mwanza wanajuoikana, mahindi ya kibaigwa pia, slizeti ya singida kadhalika. Primix, lysine, methionine na toxine binder ni standard. Kwanini isieezekane kizalisha chakula Cha kuku?
Kuna jamaa yangu mwaka jana alianzisha shamba la kuku kununua tu hiyo formula ya kutengeneza chakula cha kuku aliuziwa 5m, haya mambo yanahitaji utaalamu si rahisi kama tunavyowaza...
 
Formula yake inatoa chakula bora cha kuku? Maana formula ikiwa haijakaa vizuri kuku huchelewa kutoka na kuishia kudumaa.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Formula ya Chakul cha kuku sio Ishu sana hata wewe unaweza buni yako na ikafanya vizuri tu.

Tatizo kuu ni kujua DCP.

Digestive Crude protein. Hii inapimwa kwa mashine pekee. DCP ndo huamua ubora wa chakula.

Mfano Vifaranga lazima DCP iwe kwenye 22% sasa hiyo 22% huwezi kamwe na Daima kuipima kwa macho bali lazima utumia mashine maalumu ya kupimia Protein.

Vinginevyo unaweza tengeneza chakula kwa ajili ya layers kumbe kikawa na kiwango kikubwa sana cha DCP ambapo ingefaa wapewe vifaranga au Broiler finisher

Ingredients za chakula cha kuku au mnyama yeyeto zinaweza kufahamika. Issue ni kujua ni kuwango gani au percent kiasi gani kila ingredient itachangia. DCP kwa kila stage ya ufugaji inafahamika.
Ushauri.
Jifunze kutumia Pearson's Square kupata mchanganyiko wenye kubalance DCP. Jambo moja la kuzingatia, kama ilivyo kwa samaki tuanze kutumia punje (sinking pellets) kulisha kuku tuachane na chakula cha vumbi. Aidha, kuna mdau ameshauri kutumia Hydroponics katika kulisha ni wazo zuri ila hydroponics ichangie 50% ya ulishaji wako na uwe na supplements vya vyakula vingine. Tusisahau pia Azolla na Chicken butcheries (Maggots)

Next time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom