Nashukuru kwakuwa unazidi kutuonyesha ulivyo naakili kama kuku na ndivyo walivyo viongozi wa serikali hii kama kina wasira na mawaziri wenzake na bosi wao pamoja na hao wabunge mnaowapigia debe kuwafuta machozi. Kweli tanzania yetu imekwisha chini ya uongozi wa chama tawala ccm maana wote ni...
Hilo ndiyo tatizo lenu nyie mabwege, mnaona jinsi serikali inavyokandamiza wananchi wake sababu ya siasa ambazo kiutashi ukishakuwa madarakani huduma kwa wananchi wote ni jukumu lako wewe serikali.sasa iweje ukandamize wananchi eti kisa jimbo lao limechukuliwa na upinzani?
The day will come and...
Mimi nilikutana na mwanafunzi wa form 3 shule moja handeni Tanga, kwenye maojiano nae aliniambia shule yao ina walimu 2 tu.sasa hapo tunategemea kupata nini baadae kama siyo malaya na majambazi?Tafakari...............chukua hatua.
WASOMI na Wanaharakati wameponda kauli ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kulinganisha posho za wabunge na majaji pamoja na wanataaluma wengine serikalini wakisema 'ni kauli ya mchumia tumbo.'Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana walisema mbunge hawezi kulinganishwa na mtu aliyesotea taaluma ya...
mimi sishangai kwa malumbano hayo ya kitoto, wanajaribu kuhamisha attention ya wananchi kutoka kwenye mambo ya msingi kama Katiba mpya,posho za wabunge, matumizi mabovu ya fedha kwenye miaka hamsini ya umasikini wa Tanzania, ufisadi wa rasilimali za nchi na matumizi tarajiwa ya fedha za rada n.k...
Kama Series ya 24. mtuhumiwa anakamatwa kabla hajatoa info anakufa so inabidi waanze kutafuta mwingine.Hizo millioni 500 zilizochangishwa (wanazoziita chache) ni za nini wakati wamesema ewura wamegarimia malazi na chakula na natumaini pia hizo garama zilishakuwapo kwenye badget yao...
Wadau kwanini tusiamue jambo moja kama jamii moja na taifa moja.tuprotest watu hawa watoke madarakani kwa nguvu yetu sisi(wananchi) na wachunguzwe na kufikishwa mahakamani?
Mimi binafsi nimechoka na niko tayari kwa lolote.najua ugumu wa maisha individualy serikali haiwezi kusaidia ila kwa...
Kama ni money Laundering, ni kesi kubwa sana.wanaweza wamhusisha na vikundi vya ugaidi.itabidi mawakili wake waumize vichwa sana kumchomoa.
On matters of style swim with the current, On matters of principles stand like a rock" Thomas Jefferson
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.