Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

Great Thinkers kweli wamo humu ndani!!! Mada inaachwa na kukimbilia hoja taka na kupakazana matope. kama Mtatiro hajarudisha chenji ya helikopta basi ni mwizi tu, kama vile magamba. Cha msingi ni kumuomba HR atoe ushahidi kama anao!

Nadhani stori hii kuhusu ufisadi wa helikopta yaja wiki ijayo full kabisa ktk gazeti moja la Jumatano! Just wait!!!! Patachimbika1
 
mimi sishangai kwa malumbano hayo ya kitoto, wanajaribu kuhamisha attention ya wananchi kutoka kwenye mambo ya msingi kama Katiba mpya,posho za wabunge, matumizi mabovu ya fedha kwenye miaka hamsini ya umasikini wa Tanzania, ufisadi wa rasilimali za nchi na matumizi tarajiwa ya fedha za rada n.k
CUF wanafunua kwa wananchi nini hasa maana ya ndoa yao na CCM.
badala ya kukaa chini na kujadili zaidi ya billioni 64 zilizotumika kwenye maadhimisho ya 50 yrs of poverty bila msingi wowote huku walimu wakilia mishahara na madeni yao na wazee wa africa mashariki wakilia pensheni zao na wanafunzi wa chuo kukataliwa kudhaminiwa billion 3 eti serikali haina fedha, hospitali zinakosa dawa,vifaaa na vitanda ukiacha wodi chakavu na mishahara mibovu ya madaktari, wanafunzi mfano pale handeni Tanga, shule ina walimu wawili na hakuna madawati na wanatahiniwa na matarajio wafaulu(wanavuna majambazi na malaya wa baadae wao wakiwa marehemu ama wamestahafu na kujichokea kazi kwetu vijana wa leo).
Yako mengi sana ambayo yangewezwa kufanyika kwa 64 billion.
Mtatiro, Tulikaa wote sinza ukiwa unaomba kura pale kwa remmy na ulizungumza mengi kumbe ilikuwa ni Pumba tuuu!shame on you bro. Mtu kutangaza nia ni haki yake ya msingi.ZUNGUMZA HOJA ZA KULIONDOA TAIFA KWENYE UMASIKINI WA KUTUPA.
 
Since uchaguzi wa Igunga Mtatiro hajawai kutia pua humu JF tena, siasa za maji ya chooni zinawagharimu CUF.

Aliingia JF kujaribu kujibu tuhuma zilizotolewa kuhusu helikopta na akaweta ushahidi wa docs ambao ulionekana ni feki kabisa. Alitoka nduki humu ndani bila hata kuaga kwa kuzidiwa na hoja kuhusu hizo feki docs!

Mwenye ujuzi airudishe ile thread hapa.
 
Huyu Maalim Seif anashangaza! Alishutumiwa na Hamad kwa kutoweka mguu bara katika kampeni za 2010, na kujitoa kimasomaso alikwenda Igunga katika uchaguzi mdogo.

Juzi alikuwa kusini kuendeleza CUF wakati iwapo tayari ni ngome ya chama hicho -- badala ya kwenda sehemu zingine kama Rukwa na Kilimanjaro.

Aliwahi kutamka kuwa kama ingewezekana na kupata nafasi ya kugombea uenyekiti wa taifa wa CCM asingesita kufanya hivyo.

Mie nadhani sasa hivi akiwaambia Wapemba wote warudi CCM, wote watarudi bila kufikiri mara mbili!!!!

huyo ndiyo kiongozi mkuu wa upinzani ambaye Wabara wanataka wamshabikie!!!! Lol!!
 
Hiv prof safari ni prof by professional? Au ni kama Prof Maji marefu au Dr.Mtitu? Au Ni Prof wa kiswahili?

Ndo maana tunasema jf sometimes is boring!!!!wewe sijui bado mtoto unayekurupukia mitandao!!!!Prof wa ukweli huyo!!!!sheria imelala hapo na uanazuoni wa kiswahili!!!tafuteni elimu,msitumie mitandao kama fasion tu!!
 
Hamadi Rashidi akiwa anafunguka kupitia kipindi cha Baragumu cha chanel 10 anamesema kuna maswala ya msingi ya kuhoji kwenye chama, sio kuhoji haki ya mtu kutangaza nia.
"Mambo ya msingi ni kuhoji kwa nini chama kinapoteza mvuto, mtatiro alikodi helkopta change hajarudisha, ukihoji haya unaonekana una matatizo"

mtatiro rudisha change ya helkopta.

Kwani pesa ya helikopta ilikuwa ya CUF? Si ilitolewa na mbunge aliyejiuzuru? So Mtatiro alitakiwa arudishe chenji wapi: kwa CUF ama kwa mbunge mjiuzuru?
 
Hiv prof safari ni prof by professional? Au ni kama Prof Maji marefu au Dr.Mtitu? Au Ni Prof wa kiswahili?

Sijui kiwango chako cha elimu,lakini yaonyesha unayo matatizo makubwa ya uelewa wako. Umeshindwa kutafuta hata ktk mtandao kujua Prof. Abdalah Safari ni nani?
 
Kwani pesa ya helikopta ilikuwa ya CUF? Si ilitolewa na mbunge aliyejiuzuru? So Mtatiro alitakiwa arudishe chenji wapi: kwa CUF ama kwa mbunge mjiuzuru?

Kweli kabisa mkuu. HR anasumbuliwa na njaa baada ya kubaniwa uwaziri huko Znz na kushindwa kupata uongozi wa upinzani bungeni sasa anatafuta ukatibu mkuu wa chama ili naye akae mkao wa kula!
 
Muda ni kila kitu bado mengi yatajitokeza. wanaanza kuumbuana wenyewe hii ndio siasa ya bongo mwenzako akipata dili wewe njaa kali mtafutie skendo kwisha kazi malumbano yasiyo na tija
 
Yeye kamuona JUJU tu?mweh huyu naona hapendi juju awe hapo alipo yaani naibu katibu

Kumbuka JUJU (Julius Mtatiro) Havai SURUALI YA MDOGO WAKE,So hapo sio site yake asilani na wanahasira naye KAFIRI kushika nafasi kubwa namna hiyo?haha huyo ni big G tu,utamu umeisha inabidi atemwe!!!!
 
Watasema njisi wanavyoshirikiana na ccm na serikali yake kuunda hujuma dhidi ya chadema
 
Tanganyika is good bana!!! mbona haendi kusema hayo huko pemba?????
Kweli lakini kumbuka na pemba kua aina tatu ya wapemba'
I - Wapemba wenyewe
2- Wapemba unguja
3- Wapemba bara.
Sasa hapo ndo tatizo linapoanzia nina wa kuwasemea wapemba ,Je ni Mtatiro.?
 
mimi sishangai kwa malumbano hayo ya kitoto, wanajaribu kuhamisha attention ya wananchi kutoka kwenye mambo ya msingi kama Katiba mpya,posho za wabunge, matumizi mabovu ya fedha kwenye miaka hamsini ya umasikini wa Tanzania, ufisadi wa rasilimali za nchi na matumizi tarajiwa ya fedha za rada n.k
CUF wanafunua kwa wananchi nini hasa maana ya ndoa yao na CCM.
badala ya kukaa chini na kujadili zaidi ya billioni 64 zilizotumika kwenye maadhimisho ya 50 yrs of poverty bila msingi wowote huku walimu wakilia mishahara na madeni yao na wazee wa africa mashariki wakilia pensheni zao na wanafunzi wa chuo kukataliwa kudhaminiwa billion 3 eti serikali haina fedha, hospitali zinakosa dawa,vifaaa na vitanda ukiacha wodi chakavu na mishahara mibovu ya madaktari, wanafunzi mfano pale handeni Tanga, shule ina walimu wawili na hakuna madawati na wanatahiniwa na matarajio wafaulu(wanavuna majambazi na malaya wa baadae wao wakiwa marehemu ama wamestahafu na kujichokea kazi kwetu vijana wa leo).
Yako mengi sana ambayo yangewezwa kufanyika kwa 64 billion.
Mtatiro, Tulikaa wote sinza ukiwa unaomba kura pale kwa remmy na ulizungumza mengi kumbe ilikuwa ni Pumba tuuu!shame on you bro. Mtu kutangaza nia ni haki yake ya msingi.ZUNGUMZA HOJA ZA KULIONDOA TAIFA KWENYE UMASIKINI WA KUTUPA.
Thanks for your love of beloved Tanzania.
WanaJF, nini kifanyike ili JF irudie hadhi yake ya kujadili hoja nzito na muhimu kwa taifa letu.
JF used to be a truly HOME OF GREAT THINKERS.

It is not late to go back and continue being a home of great thinkers.

Taifa linaiitaji JF.
 
Hiv prof safari ni prof by professional? Au ni kama Prof Maji marefu au Dr.Mtitu? Au Ni Prof wa kiswahili?

Ni profesa kabisa mzee!!! Ana akili sana, huwa ni mwaandishi wa vitabu vya mambo ya kiswahili na pia ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vya sheria! Amesoma sana ndiyo maana alipokuwa kule CUF aliyaona mambo yanayofanyika kule ni ya kitoto sana kiasi kwamba yanadhalilisha uprofesa wake ndiyo maana akawakwepa na kuhamia kwa maprofesa wenzake CDM! Kwa hiyo ndugu yangu uprof, wake usitilie mashaka kabisa, ni njembe la ukweli lenye makali ya kiwembe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom