Ni kweli kwamba wimbo wa Taifa ni mali ya watanzania lakini mbona hujasema kwa upande wa vyama vya siasa, je vinaruhusiwa kutumia? Kwa upande wangu ninatambua kuwa wimbo wa taifa ni moja ya alama za kitafa (National symbols) zingine zikiwa ni Nembo (Court of arms) na Bendera (National flag). Kama ambavyo huwezi kuona bendera ya taifa ikipepea katika ofisi za vyama vya siasa hasa ambavyo havijaunda serikali ndiyo inavyotakiwa kuwa hata kwa wimbo wa taifa.
Mi ndio ringtone ya simu yangu
nimefuatilia kwa karibu sana tangazo linalorushwa na redio clouds linalowahamasisha wapenzi wa chadema kukichangia chama hicho nami nikiwa miongoni mwa wakereketwa wa kuchangia chama hiki ambacho kinaonekana kuja juu sana katika medani ya kisiasa. Lakini kilichonishangaza kipande cha wimbo wa taifa ndani ya tangazo hili.
Je ni sahihi chama cha siasa kutumia wimbo wa taifa kujitangaza wakati wimbo wa taifa ni chombo cha mali serikali na kwa maana hiyo ni mali ya vyama vyote vya siasa? Haya si matumizi ya mali za serikali kwa ajili chama kujipatia umaarufu?
Watanzania tunajua na tumezoea kuusikia wimbo wa taifa wkati kiongozi mkuu wa nchi akihutubia, wakati kuna sherehe za kitaifa, wakati kuna taarifa mbaya inatolewa na mkuu wa nchi kama ilivyokuwa wakati tunaarifiwa kifo cha baba wa taifa na vile vile wakati nchi inatangaziwa hali ya hatari kama vita n.k
iweje leo wimbo wa taifa uchezewe na vyama vya siasa kujitafutia umaarufu tena kwa kuwahadaa wananchi kuwa wananchangisha pesa za kuendeleza chama wakati pesa hizo zinapotelea kwenye matumbo ya wachache.
Nimefuatilia kwa karibu sana Tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS linalowahamasisha wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho nami nikiwa miongoni mwa wakereketwa wa kuchangia chama hiki ambacho kinaonekana kuja juu sana katika medani ya kisiasa. Lakini kilichonishangaza Kipande cha wimbo wa Taifa ndani ya tangazo hili.
Je ni sahihi chama cha siasa kutumia wimbo wa Taifa kujitangaza wakati wimbo wa Taifa ni chombo cha mali serikali na kwa maana hiyo ni mali ya vyama vyote vya siasa? Haya si matumizi ya mali za serikali kwa ajili chama kujipatia umaarufu?
Watanzania tunajua na tumezoea kuusikia wimbo wa Taifa Wkati Kiongozi mkuu wa Nchi akihutubia, wakati kuna sherehe za kitaifa, wakati kuna taarifa mbaya inatolewa na Mkuu wa nchi kama ilivyokuwa wakati tunaarifiwa kifo cha baba wa Taifa na vile vile wakati nchi inatangaziwa hali ya hatari kama vita n.k
Iweje leo wimbo wa Taifa uchezewe na vyama vya siasa kujitafutia umaarufu tena kwa kuwahadaa wananchi kuwa wananchangisha pesa za kuendeleza chama wakati pesa hizo zinapotelea kwenye matumbo ya wachache.

Tuacheni ushabiki wa kisiasa; kwa kuzingatia elimu tulonazo matumizi ya wimbo wa Taifa sina shaka kila mmoja anayafaham; sidan kama chama binafsi kinaruhusiwa kutumia wimbo wa Taifa kwa sababu zao tofauti si CCM wala CDM labda uwe ni utaratibu mpya na kama ndivyo basi tunakoelekea tutaanza kuutumia hadi kwenye kumbi za starehe na kama haitoshi ataibuka mtu atataka aufanyie remix na kuachia single yake; na mwingine (Njeree) ataibuka na bendera ya taifa ajifunge rubega akate kitaa la hasha tunapotoka"