Recent content by Sanare S

  1. S

    PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Kwa hili linaendelea kudhihirisha kuwa there is no true democrasy ndani ya chadema, haw wachache wanaendelea kukitumia chama kwa maskahi yao binafsi, kama zzk kakosea basi iwe proven na apewe nafasi ya kujitetea na endapo utetezi wake usipokuwa wa kweli basi ndipo awajibishwe. Huwa najiuliza...
  2. S

    Sijamuelewa Edward Lowassa

    Mwacheni Lowassa msimsakame japo mimi naona mnazidi kumuongezea umaarufu, suala la yeye kugombea uprezdaa mbona ni kawaida tuu kwani hata wale wooote wanaopiga ndogondogo wanafahamika hadi babu na wenzake wanafarakana kw ajili hiyohiyo?
  3. S

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Lakini inasikitisha sana, mbona mm sijaona picha ya EDDO hapo? Au sioni vizuri, acheni kujenga hojavzilizopitwa na wakati, mnataka kutumia prpaganda kuchafua wengine, nyie subirini hiyo sunami muda ukifika, mtafurahi kushinda siku zote.
  4. S

    Makala za Kigwangalla: Mabadiliko ya kifikra, Mifumo mbumbumbu na mustakabli wetu!

    Mawazo yako ni chanya sana, ila una forum ya kuanzia yaani nNzega na sii humu jf. Wewe subiri kipigo 2015.
  5. S

    Dr. Slaa amtishia mwandishi wa habari! Ni baada ya kuhoji ufujaji wa fedha za chama

    Hivi wadau wa JF katiba ya chadema inamruhusu mwanachama yeyote kukopa mafungu/ruzuku za chama??? Au inamruhusu katibu peke yake? NAOMBENI JIBU ILI NIRUDI KUSUDI NIANGUSHE LILOPO MOYONI HAPA JAMVINI.
  6. S

    Kwa hili CHADEMA hamfai kupewa nchi mtamalizia hata walichokisahau CCM

    Sijui JF ya sasa ni JF ya namna gani? Yaani tumekuwa kama bendi za taarab, ile dhana ya "great thinkers" imekwisha kwa sasa, huna hata hamu ya kuingia jf tena kwani sii kisima cha kupata mawazo mapya bali ni kisima cha matusi, kebei, kejeli na dharau. Mimi nafikiri Wakusoma angejibiwa na sii...
  7. S

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Wana Jf naombeni tusiwe na jasba wala matusi au kejeli, the home of great thinkers maana yake hasa ni nini? Hoja ya msingi ya nape ni kuwa-: As long as you are a leader, you should "walk the talk" you should "walk what you preach" huwezi kuhamasisha na kuendesha zoezi la kurudisha kadi za ccm...
  8. S

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Wana Jf naombeni tusiwe na jasba wala matusi au kejeli, the home of great thinkers maana yake hasa ni nini? Hoja ya msingi ya nape ni kuwa-: As long as you are a leader, you should "walk the talk" you should "walk what you preach" huwezi kuhamasisha na kuendesha zoezi la kurudisha kadi za ccm...
  9. S

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    Mimi nisingependa kucoment chochote ila ninachokiamini kuna wabunge wa CDM wanaofanya vizuri majimboni na kuna ambao hawafanyi vzuri, halikadhalika kuna wabunge wa CCM wanaofanya vizuri majimboni na kuna wengine hawafanyi. Ila kuhusu Mnyika hapana! Huyu kijana namkubali sana japo kidogo suala la...
  10. S

    Lowassa ndani ya Mbeya ktk Harambee ya Moravian

    Semeni msiseme Lowassa bado ataendelea kubarikiwa kwa kazi za jamii anazozifanya, nyie semeni tuu mkijua mnambomoa kumbe mnamjenga siku hadi siku.
  11. S

    G. Lema ashangiliwa kwa shangwe na waliotoka katika mkutano wa CCM

    Huo ni uzushi kama mlivyozoea, lema alikuwa na vijana wake waliokuwa wamedandia gari huku wakining'inia.
  12. S

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Lowassa is the best ever, pamoja na yote mabaya juu yake yalosemwa.
  13. S

    Je, wajua nani aliyebuni kura za m/kiti wa CCM ktk mkutano mkuu Dodoma zipigwe kimkoa?

    Wadau wa jf siku moja kabla ya mkutano mkuu Dodoma, mh Lowassa aliwaita wajumbe wote wa mkoa waArusha nyumbani kwake Dodoma ili kushiriki chakula cha jioni. Baada ya hapo aliwaomba wajumbe wa mkoa wa Arusha woote kumpigia Jakaya kura za ndiyo. Hii ni kutokana na habari zilizozagaa kuwa lowassa...
  14. S

    CCM: Kwanini kisife?

    Kwaa nini chadema kisife? Yaani vurugu tuu uchochezi fitina kuamasiha maandamano na vita?
Back
Top Bottom