Recent content by samsun

  1. samsun

    Ya kunguru usiyoyajua

    "Inaonesha mnaongelea vitu vya maana" lakini sasa sisi tusiojua kiingereza mmetutenga mkuu.
  2. samsun

    Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

    Kwani huyu si Master j (wa mj record) ndio anasimamia shoo ??
  3. samsun

    Jinsi ya kuanzisha Club ya mpira wa miguu

    Njia rahisi kabisa ni wewe mwenyewe kwanza,yaani je uko na pesa au .......??
  4. samsun

    DAR: Ajali yaua mwanafunzi Mbezi Beach, Kituo cha Shule

    Nilipita hapo sikuwa nimepata taarifa kamili.
  5. samsun

    Ni dua gani ya kumuombea mtu aliokudhulumu ili apate mikosi?

    Amini nakwambia,kama kweli ulitendewa hivo na ile pesa au nguvu yako hukumzulumu mtu,basi hakika malipo yatafanyika kwake kwa njia yoyote ile na mara nyingi Mungu umlipa mtu kiasi asijue kama yale ni malipo kwa aliyemfanyia mwanzo na hata wewe uliyetendwa waweza usijue kama yule "adui" yako yale...
  6. samsun

    AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

    Hongera zao vijana wanaenda kuuaga umaskini "haswa FA" maana AY naamini anamiliki mali zenye thamani zaidi ya hiyo pesa. Lakini pia nikiangalia salio watakalobaki nalo baada ya makato yote si zaidi ya 1.5b kwa hesabu hizi hapa. 2.1b - 18% (kodi) - pesa ya mahakama (sio chini ya 10%) - na...
  7. samsun

    Maswali magumu kuhusu uchawi/ushirikina

    Naamini mko poa wakuu, Mi kuna maswali huwa najiulizaga na sijawahi kuyapatia majibu. 1.Nini tofauti ya mchawi na mwanga? 2.Nitamjuaje mchawi au mwanga (dalili na ishara zake) 3.Nini lengo la mchawi au mwanga? 4.Nasikia kuwa wachawi au wanga hawaibi pesa,sasa mbona nasikia uchawi na wanga...
  8. samsun

    Alikiba aachia goma jipya linalokwenda kwa jina la joho tena

    Wewe si "mwanachama" kwa vile umeulizwa,ila nisingekuuliza wewe ni "mwanachama hai"
  9. samsun

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Siku litakapolipwa hilo deni, nadhani baada ya mwaka TZ itakuwa zaidi ya U.S.A.
  10. samsun

    Binti, kama umekosa mwanaume wa maana wa kukuoa chukua tu hata huyo wa hovyo hovyo maisha yasonge

    Sasa mimi huwa nawashangaa kitu kimoja tu,kwanini wasiwe nazo wao hizo pesa kisha ndio wao wachague wenye pesa wenzao,ila badala yake yeye yupo home analishwa na Baba na Mama yake kisha anataka mume mwenye pesa kwanini huwa hawalifikirii hili ....??
  11. samsun

    Falsafa za wanawake wasioolewa

    Upo sahihi kabisa.
Back
Top Bottom