Recent content by Sammy Aron

  1. S

    Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

    Jaman msaada nataka kujua kama mtu ame risiti mtihani wa kidato Cha nne kwenye ku apply vyuo atatumia namba ipi ?
  2. S

    Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

    Msaada hivi kama mtu amerisiti mtihan anatumia namba gan ku apply
  3. S

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Nashukuru sana ndugu kwakuwa lengo ni kujifunza nivizuri ukaeleza sehem ambazo unahisi hazipo sahihi au kuna upungufu wa taarifa ili tujifunze Kwa pamoja
  4. S

    Uyahudi na Watu weusi

    Mungu hakumkasirikia ila nduguzake ndio walimkasirikia Na walimkasirikia kwakuwa hakuwa akiabudu kama wao sio Kwa rangi yake
  5. S

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Kwanza baada ya kusoma nimegundua wew si mkristo na ulivyo Anza na io salamu bilashaka wew utakuwa muislamu na umeandika hii kwalengo la kukosoa na Wala sio kutoa elimu kwasababu Kuna elimu kubwa zaidi ya io ulio itoa Nivizuri kutoa taarifa ilio kamili na sio kutoa taarifa inayo support kile...
  6. S

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Nimesoma vizuri ila nimegundua Kuna vitu upo sahihi na kunavitu haupo sahihi 100%
  7. S

    Kumjua Mungu wa Kweli

    Dah brother inasikitisha kuona hata historia yako huijui tayar Nataka nikupe fact kadhaa huenda ukapata pakuanzia 1.Jiulize kwann historia ya mwafrika imeandikwa na mzungu 2.Jiulize kwann historia ya muafrika katika mifumo ya elimu zetu inaanzia baada ya utumwa je historia ya mwafrika kabla ya...
  8. S

    Kumjua Mungu wa Kweli

    Unaijua asili ya waafrika na miungu yao ?
  9. S

    Kumjua Mungu wa Kweli

    2 Wathesalonike 2:10-12 (KJV) na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa. Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo; ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
  10. S

    Nani alimchagua mkalimani(translator) wa Magufuli?

    Me nadhan anajua ila aliona ili nawatanzania tujue kinacho endelea nilazma awepo mkaliman
Back
Top Bottom