Kumjua Mungu wa Kweli

Kumjua Mungu wa Kweli

Asili ya dini ya Mwafrika naipenda kwani ukiomba kwa dhati unajibiwa, mf swala la ukame, wazee wakiomba mvua inanyesha. Sasa chukua Bible upige magoti mpaka yachubuke kama mvua itanyesha. Mungu wetu ni WA kweli! Ndio maana nikasema tuachane na imani za kigeni. Najua utanipiga nyundo kwani kuachana na Yesu sio rahisi, yupo kwenye damu ya Mwafrika.
 
Asili ya dini ya Mwafrika naipenda kwani ukiomba kwa dhati unajibiwa, mf swala la ukame, wazee wakiomba mvua inanyesha. Sasa chukua Bible upige magoti mpaka yachubuke kama mvua itanyesha. Mungu wetu ni WA kweli! Ndio maana nikasema tuachane na imani za kigeni. Najua utanipiga nyundo kwani kuachana na Yesu sio rahisi, yupo kwenye damu ya Mwafrika.
Dah brother inasikitisha kuona hata historia yako huijui tayar
Nataka nikupe fact kadhaa huenda ukapata pakuanzia
1.Jiulize kwann historia ya mwafrika imeandikwa na mzungu
2.Jiulize kwann historia ya muafrika katika mifumo ya elimu zetu inaanzia baada ya utumwa je historia ya mwafrika kabla ya utumwa ipo wapi
3.jiulize kwann waafrika kipindi cha utumwa walibadilishwa mjina
4.jiulize kwann kipindi Cha utumwa vitabu na ushahidi wote unao eleza historia ya mwafrika uliharibiwa
5.hata ukiingia mtandaon kutafuta historia ya kabila lako hupati taarifa za kutosha utaskia sijui walitokea wapi ndio wakaja Tanzania unajua kwann

Kwakifupi mwafrika ndio mwanadamu wa kwanza kumjua Mungu brother hata io biblia unayo ichukia ni kitabu Cha historia ya mwafrika
kuhusu Imani za kishirikina ambazo ww ndio unaziita dini waafrika sio watu pekee walio kuwa wanatumia hii kitu ilikuw kwenye jamii nyingi za duniani hata hao unao sema wamekuletea dini wanaifanya sana ukifanya uchunguzi utaelewa

Watu kama ww huw mna kuja na hoja ya kuwa dini zililetwa ili kumtawala mwafrika
Swali je kati ya mifumo ya elimu na dini kipi kina lengo la kumtawala mtu

Ukichunguza vizur utagundua elimu ndio chombo kikuu kinacho tumika kumtawala mwanadamu Sasa kama dini ni sehem ya kumtawala mtu mbona haijawekwa kwenye mifumo ya elimu ili waendelee kutawala vizuri ?
 
Kiufupi kuna mambo mengi nyuma ya hayo yanayooneka ambayo wengi hawajui.

Mfano, Afrika ilikuwa kitovu cha elimu dunia nzima hasa ethiopia na misri na sudan hapo hata kabla ya Sauti kuu ya aliyetuumba kusikika mashariki ya kati kupitia (Musa, Eliya Mtishbi, Yesu na Muhammad).

Baada ya muda ndipo zile scripture zikahamishiwa rome na maeneo mengi duniani ambapo unaamini huko ndo kila kitu.

Pia Africa ndo kulikuwa na Bustani ya Edeni je ushawahi kufundishwa popote ilo?.
 
Back
Top Bottom