Recent content by samkono mtanga

  1. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mkuu mshana naomba niunge group la whatsapp namba - 0756 484545
  2. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayotumika kwenye Ofisi

    Huo ndio ujinga na ulofa aliousema bwm
  3. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    pamoja sana
  4. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    nimegundua hii baada ya mkuu mmoja kuuliza na ww ukamjibu kuwa hiyo iliyoenda NACTE amekosea na hairudishwa
  5. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    bado , reference namba ya TCU katika malipo ni ngapi km ile 1234 ya NACTE au TCU unaweka business number tu, juzi nilifanya malipo ndio yalienda nacte
  6. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    mana process yote ya kupay na kuapply nazifahamu shida na hizo business & reference number
  7. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    ok, ukiacha business number TCU reference number yao ngapi?, kama ile ya NACTE ambayo 1234?
  8. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Sawa mkuu nakushukuru sana, nitadownload hiyo applcn. , ndio vocha nimeshanunua
  9. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Natumia simu android phone
  10. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mkuu naomba nielimishe kuhusu hiyo Firefox kusema kweli sijui
  11. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Shukrani mkuu na Mimi nimepatwa na tatizo hilo nimelipia NACTE , na JEFF TCU wameshafunga kupokea maombi ya kujiunga mbona haifunguki
  12. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mkuu naomba nisaidie kwani TCU business namba yao ya malipo ni ipi ?
  13. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania Lowassa, hata upande baiskeli, pikipiki au mkokoteni, Ikulu "HUENDI NG'OO"

    sasa na nyie wakuu hamuoni hiyo ni geresha tu au ndio hivyo mna fikra mgando hivi hamjiulizi kwani lowasa amejua leo kuwa wananchi wa dar es salaam wanapata adha za usafiri wa daladala
  14. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    si unamuona hapo mfunue hiyo nguo kidogo uone hizo chuchu
  15. samkono mtanga

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

    nadhani ulivyo ukimuona police dudu washa linakutekenyatekenya unatamani uwawekee mkao wa chuma mboga, na niwajuavyo polisi kwenye mambo hayo hawarembi
Back
Top Bottom