Recent content by Samirah77

  1. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kondom kuingia ndani kabisa kwenye kizazi, na ikiingia hivyo inakuwaje?

    Jmn Badala ya kwenda hosp upate huduma ya kwanza unakuja kuuliza Jf wahi hospital dada🙌
  2. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Udini udini mtaumia sana kam mkiendekeza udini kwan kusema IRT ndio mnabadilishwa dini mnakua waislam? Eneweiz endeleen kuendekeze udini kana kwamba mtabadilishwa muwe waislam🚮 Kuna comment moja uko juu kaingiza mpk makampuni kufturisha wa2 yoooo em msipende kukuza mambo woii🙌
  3. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

    Nisiongee sana ila huwa wanakera kinaz nshawah ku experience hii k2 aseee inaboa sana af mwenzio anaona ndio mapenz🙌 🚮
  4. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Jamani yule njiwa alieingia nyumbani nikamtoa nje leo tena amerudi

    Mbn Njiwa hawanaga shda broh usiwaze negative kama inawezekana mpatie chakula
  5. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ya afisa hesabu ndio yametoka jana mkuu hayo uloangalia ilikua ni wa uchumi vipi umekua shortlisted?
  6. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke fahamu mambo haya kabla hujawa mchepuko wa mume wa mtu

    Sio wote wana magari🤣🤣wengne hupanda Daladala kurejea kwa wake zao
  7. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Yooo wiki mbili cku 14 ushachoka🙌
  8. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wote walio single

    Kelvinvevo we ni single mama au comment yako cjaielewa😅🤔 eneweiz hayanihusu mi mpitaji tu
  9. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninamdharau sana mtu aliepata mafanikio kupitia connection

    Yan huo ni wivu tulia wakat wako utafika
  10. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

    Yan mleta mada Kaleta uzi af kakaa zake kimya😁 akiangalia mkanganyiko kila m2 akiisifia dini yake na kuiponda ya mwengne kuona wao wamekamilika kuliko wengne all in all mjadala kuhus din ni mpana sana kam unamuaminu yesu baki kwenye imani yako haina haja kucritisize wale tunaomuamin Allah na...
  11. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje Kugundua Kuwa Unaemtongoza ni size yako?

    Wa2 swaumu zmekaza mnaleta uzi wa design hii🙌 enewei nmepita tu mie
  12. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Wajua kuwa maeneo yenye udongo mwekundu ni sababu ya kutu?

    ukute unaenda kwny sherehe unakuta m2 kapaka zake enjoy face uso umepigwa vumbi la kutosha🤣
  13. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Wajua kuwa maeneo yenye udongo mwekundu ni sababu ya kutu?

    Uzi wa daku huu😁
  14. Samirah77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

    Umewaza kam mm😅😅 nlikua cjuy kam kudate nd kufanya mapenz😅😅🙌
  15. Samirah77

    JamiiForums Tanzania Usilale kioo cha delressing table unajiona

    wazee husema kioo kifunikwe wakati wa usiku mpk kukua kwangu najua kuwa ucku kioo kifunikwe Kuna namna wana maana yao pengne fatilia zaid
Back
Top Bottom