Kwa MTU anaye uelewa huu mchezo hautaji kutafuta refa wa kumbeba..no vyuo vikubwa havina hewa vilivokwisha patiwa pesa? Au ni kuwafanya wasipige kelele tena?
Vyuo vingi vimepewa sisi bhado, ndo imekula kwetu ama?...
Pof. Ndalichako Abaini Wanafunzi Hewa Zaidi ya 1000 Vyuo Vikuu
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini...
Nimenunua iPhone ya dili hapa 6+ elfu 40 kutoka kwa teja, but nimechomoa kimin cheap (laini) iliyokuwa inatumika ni Tigo, hii simu inauwezekano kufunguka? Maana ina password kwa kioo.. Wataalam nijuzeni
Vyuo vingi vishapatiwa pesa zao, chuo chetu inasemekana pesa hata haijaja kwa Maelezo ya Loan officer, tunawasiwasi kaiweka fixed account.
Mwenye namba za Bodi ya Mkopo tunaomba tuweze kuwasiliana nao moja kwa moja, tupo likizo vyuo now closed waziri wetu naye ni mtu asiyekuwa upande wetu...
Hauna uhakika Mkuu unaposema muhumbili peke yake, Mimi naingia mwaka wa 3 bachelor of environmental health sciences ipo Ruaha Catholic university (RUCU) Iringa. Pia inatolewa chuo cha Zanzibar.
Kukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?
Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko kabisa mujue..week imeenda sasa kesho ijumaa pia no any information concern this.
Maoni Tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.