Na Mwamba wa Kaskazini
Ni dhahiri kuwa tathmini ya kampeni, kura za maoni na matakwa ya wapigakura wengi (election issues) vinahitimisha kuwa ni dhahiri wagombea wawili mashuhuri wa upinzani, Tundu Lissu na Bernard Membe wameadhibiwa na wapigakura kwa sababu zile zile za kimkakati za makosa ya...
Jopo la waangalizi 89 waliobobea kwenye masuala ya demokrasia kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likiongozwa na Mhe. Silvestre Ntibantunganya limesema uchaguzi wa Tanzania umefuata utaratibu, hivyo watanzania wanatakiwa kuendelea kuimarisha amani iliyopo.
Wabobezi hao, wenye weledi na...
Nimezinyaka nyepesi nyepesi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na ACT-Wazalendo wanapanga mkakati wenye nia ovu, eti kuanzia Jumatatu Novemba 2 mwaka huu wanapanga kuitisha maandamano ya kitaifa.
Mpango ambao utatangazwa kwenye Press Conference ya kesho iliyoitishwa na...
Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali.
Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC.
Tamko lililotolewa na jukwaa hilo kutoka makao makuu yake yaliyopo Botswana, linasema NEC na ZEC zimeendesha uchaguzi huru, wa...
1. Viongozi wote wa Dini na Madhebu, wale waaminio ktk Mungu/Allah na watu wote wenye maadili mema, Wanawake wanauomizwa zaidi na USHOGA tukutane katika vituo vya kupigia KURA kuchagua kupinga USHOGA kwa kuichagua CCM.
2. Watanzania wote wapenda AMANI, UTULIVU na MSHIKAMANO kutoka BARA na...
#USAFIRI WA ANGA.
CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza SMZ kuongeza uwezo na ufanisi wa viwanja vya ndege kwa kuzingatia viwango vya kimataifa ili kuendana...
Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2020-2025), CCM itaielekeza SMZ kufanya mambo yafuatayo kwa ajili ya UMEME na NISHATI mbadala Zanzibar;
1. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2020 na kuendeleza juhudi za upatikanaji wa umeme na nishati mbadala.
2. Kuimarisha shughuli za...
#MAWASILIANO.
Juhudi kubwa zimechukuliwa katika kuimarisha sekta ya mawasiliano Zanzibar ili iweze kusaidia kukuza uchumi na shughuli za kijamii.
Mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ni kama ifuatavyo:
1. Kuanzisha Wakala wa Mkongo...
Chama Cha Mapinduzi kinatambua kuwa sekta ya viwanda ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa nchi, kukuza pato la mwananchi, kupunguza umasikini na kuongeza uwezo wa Taifa kujitegemea.
Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita (2015 - 2020), Serikali imepata mafanikio yafuatayo katika Sekta ya...
SISI NI MASHAHIDI, TUTAPIGA KURA KUMCHAGUA TENA
1. JPM alipotangaza kufufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua Ndege mpya kwa ajili ya usafiri wa anga tulikua hapa #FikraHuru tukicheka kwa dharau. Zikanunuliwa ya kwanza hadi ya nane, usafiri ukaboreka, ATCL ikarudi sasa inapasua anga...
LISSU; KIBURI SI MAUNGWANA!!
Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia ktk kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri.
1. Aliemshauri Lissu kuwa baada ya kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya NEC anaweza kuendelea na...
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.
Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM.
1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amefafanua sababu za viongozi wa Upinzani kuikejeli na kuitukana CCM.
Akizungumza na wazee Afisi Kuu Zanzibar, tarehe 05 Oktoba, 2020 pamoja na masuala mengine ameeleza kuwa,
"Wazee wangu tumetukanwa sana hatujajibu mapigo kwa Matusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.