Zito kabwe ujuvi mwingi na ujuaji ila usilete siasa za kishamba wakati watu wanauliwa na viongoz WA mkiru ,mliliona sasa kila aliyehusika ma mauaji Yale acha akutane na ski yao na sio kutafuta kiki kisiasa
Uzi wako mzuri ila tukuambie tu ulinzi WA raid sio kama WA REDBRIGED MZEE zungumza mengne na wala usijitie unauchungu sana. Wala usijitie we no mshabiki WA rais acha wenye taaluma yao ,na wenye majukumu yao wayatimize kwa namna wanayojua na taratibu zao wew kaendelee kumshauri mwenyekiti wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.