Julius Mtatiro: Kwa Heri Masogange hatukukutendea haki kama taifa

Aiseee!
Ila binafsi hata nikiulizwa na wadogo zangu wa kike huyo aggy amelifanyia nini taifa mpaka aonekane amegusa Wengi kiasi hicho nakosa majibu!
Sijui hata kwanini!
Alikuwa ni maarufu,ni MTU wa watu yaani social na kila MTU,amefaudu kuula ujana dakika za mwisho nadhani aliamua kumrudia Muumba wake maana alianza kufanya ibada na kuzinyoosha njia zake akijutua jinsi alivokuwa akiukimbiza upepo na kuona si kitu,heri arudi kwenye mstari, Mungu ampokee kiumbe chake tumehuzunishwa wengi kwa kweli.
 
Mbele yake nyuma yetu...

Kila mtu anamapungufu yake...

But she was such a charming girl, easy to talk with very out going and fun to be around with...

I know her Personal...


Cc: mahondaw
 
Kuhusu madawa ya kulevya inafahamika hakuna dealer asiye mtu mkubwa{mzito}, ila jua kuwa wakikutana tembo wawili {owners vs govt.} zinazoumia nyasi {wauzaji au wasafirishaji}, udhaifu wetu mkuu ni ku-deal na tudagaa tudogo wakati papa anajulikana..kwa njia hii tutapoteza vijana wengi sana!
 
KWAHERI MASOGANGE...HATUKUKUTENDEA HAKI!

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J

Ndugu zangu, uvumilivu umenishinda na nikaona lazima niandike jambo. Ni kawaida yetu kwenye taifa letu kuandika kurasa nyingi za wasifu wa
Mtatiro umezungumza vema but swala mengne hayo ukilaumu serikali sio sawa alikua MTU mzima anaelewa bays no lip na jema
 
Aiseee!
Ila binafsi hata nikiulizwa na wadogo zangu wa kike huyo aggy amelifanyia nini taifa mpaka aonekane amegusa Wengi kiasi hicho nakosa majibu!
Sijui hata kwanini!
She is a celebrity , ni modern times social status, zamani wanamfalme, ama matajiri ndo walikuwa na hdhi, ila siku hizi ucelebrity ni nyota ya mtu haijalishi kafanya ni MTU mashuhuri Agnes alikuwa
 
Aiseee!
Ila binafsi hata nikiulizwa na wadogo zangu wa kike huyo aggy amelifanyia nini taifa mpaka aonekane amegusa Wengi kiasi hicho nakosa majibu!
Sijui hata kwanini!
Mkuu Marehemu J. F. Kennedy aliwahi kusema: “A nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors, the men it remembers''. Tanzania bado tuna safari ndefu mno mno. Nadhani elimu yetu haitusadii kufikiri bali kufuata mkumbo tu.
 
Well said..ila huyu dada licha ya uzuri wake alikua mtu poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom