Recent content by samhong lee

  1. S

    Tanzania na Israel zasaini mkataba(MoU) wa ushirikiano wa Kijeshi na Kiintelijensia

    Akili fupi isiyokuwa na upana wa kutizama mbele ndio utaona mambo ya ajabu hayaaaaa,,,
  2. S

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Mambo ya siasa tuwaachie wanasiasa !!!!je mambo yakija kuva na aina yoyote ya uvunjifu wa aman tumuachie ufipa au dingi ako ,,,ukitaka kuzungumza kitu angalia kitu kwa mapanda aida na hasara ,,sio ushabiki wa upupu uliobeba kichwa
  3. S

    Makamu wa Rais Samia Suluhu: Nina orodha ya polisi wahalifu

    Cheki ulivyofala shida si kutetea mzenji au vip mambo ni kwamba hao askari ni waalifu kama waalifu wengine
  4. S

    Contact Details za Ofisi Muhimu na Nyeti hapa Tanzania pamoja na majina ya wakuu wa idara

    Sasa taarifa za idara nyeti unazitaka zikusaidie nin, au wew uzitumie katika shughuli gani ,????
  5. S

    Uganda yawashikilia wanyarwanda kwa tuhuma za upelelezi (spy)

    Sahau hilo huyo jamaa mnampaishaga kila nnchi imejipanga na sio kwamb kagame anapawa sana hadi ya kumtoa rais mwingne kwenye nchi yake hyo africa bado
  6. S

    Kutoka Ikulu: Ushiriki wa sekta binafsi katika Tanzania ya viwanda, Mengi akosoa ukadiriaji kodi kandamizi wa TRA

    Mamye hamjielewi mnataka nin kila jema mnalibeza mtakufa kwa wivu
  7. S

    Yupo wapi mwanadada huyu Makini wa kitengo nyeti?

    Tatzo hauelewi maana ya ulinzi wa rais ,,,yule sio fungu la nyanya
  8. S

    Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Unataka mapato yaongezeke wew TRA hizi sadaka zitawafanya kuwa wanasiasa
  9. S

    Wanajeshi wa miavuli wa Israel Wawafundisha wanajeshi wanamaji wa US kupambana kwenye mahandaki!

    Kaka umeiva na huyo unayebishana naye ni kiazi sanaaa haelewi mambo ya jeshi
  10. S

    Kama Rais hana huruma na Mtanzania na anasema waziwazi; Je, sirini ni yapi anayaagiza juu ya Raia?

    Wataka umtete nin mfungwa wakati kafanya uhalifu huku uraiani na wengne kuua nguvu kazi ,so wapige kazi tu hakuna namna mzeee
  11. S

    Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Sio kila kitu mnakiweka kwenye siasa wafanyabiashara yaweza kuwa alikua na mkwaruzano na matajiri wenzake ,,,msiingize siasa kila tukio
  12. S

    Zitto: Rais anasema, IGP anasema, Naibu wa Rais (Dsm) anasema, Waziri anasema. Yote hii ya nini mbona mnapanick?

    Zitto nawe ulikua wasemaje kweli nawe kukatiwa ule mrija na mabosi wako umejidai umekua chatu kumbe nawe mzee wa dili tu
  13. S

    Nauliza: Sumaye hana walinzi wa kumlinda kama waziri mkuu mstaafu wa JTM??

    Ndio huanzishaga uzi sizokuwa na maana huku jf bila kufanya tafiti na kuchunguz akitu
  14. S

    Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

    Hii habari aliyeleta alikurupuka coz waziri wa ujenzi na uchukuzi alikanushaa hili kwamba sio ya SGR
  15. S

    Ndege nne kwa mpigo zilizoahidiwa na Serikali ikiwemo Boeing 787-8 Dream Liner zitaingia nchini Julai, mwaka huu

    Ndio mwisho wa akili yako kufikiri hapo,,,??? Bongo tutaendelea kuwa masikin tukiwa na raia wenye akili kama yako milioni 30
Back
Top Bottom