Kulipa mahari sio kufanya biashara hata siku moja nakama ingekuwa ni kufanya biashara basi watu wengi wangetajirika sana ninacho kifahamu kuhusu mahari ni kuunganisha undugu wala sio biashara. Kwanza unapo kuwa umepata mtu wakumuoa maranyingi huwa tunakuwa na mtu anae itwa Mshenga huyu kazi yake...
Umeongea vema ila kumbuka kuwa si kila mtu anaweza kuiendeleza pesa yake kwanza uelewa tumatofautina,
Elimu pia tunatofautiana
Lakini pia mzungukuo wa dunia hii ili uendelee vizur lazima kuwepo kuzidiana hivi kama wote tungekuwa na uelewa kama wako nani angethubutu kuwekeza ,jibu hakuna kwaiyo...
Mabadiliko ya kweli yanaweza kuaptikana endapo tu kwanza wasomi wa nnchi hii wakijitambua nakujua kuwa wale wasiosoma wanawategemea kuleta mabiliko yenye faida
Pili katiba itayo weka uhuru wa, mahakama bunge ,serikali ,na tume ya uchaguzi
Tatu mfumo wa vyama vingi ufanyiwe marekebisho badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.