Mimi ni mwalimu shule ya msingi umri wangu ni miaka 26 na nafanya kazi wilaya ya Ulanga (MOROGORO) nahitaji mchumba awe na umri:20-23,awe mkristo,awe na mwili wa wastani,awe anajishughulisha si lazima aajiriwe serikalini au ngo's,Elimu:iwe angalau kidato cha nne.
Ni PM au nitafute kwenye...
Salaam' naitwa sam npo morogoro nna miaka 26 natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 22-23,asiwe mwanafunzi awe mweupe au mweusi nipo gudy kwake na awe mrefu wa wastan,awe mkristo aliye tayari anicheki kwenye namba 0654572467
Pamoja na migogoro yote kati ya baba na mama yako' unatakiwa kutambua nafasi yako katika familia kwamba ww bado ni mtoto so ukwely utabaki kwamba yule ni mama yako na yule ni baba yako huwezi kubadilisha ukweli japo inaumiza ila kaa na mama yako then jaribu kumshauri tu juu ya hilo naiman atakuelewa
Dunia ni kubwa anatakiwa akumbuke anaishi kwenye dunia yenye mambo mengi asingekuwa staa bila sapot ya watu kutoka pande zote za dunia na sidhan kama kuna mtu alimuomba msaada ila ni swali aliloulizwa tu ni mda wa viongozi wetu kujitathmini na kujenga uchum wetu bila kutegemea msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.