Hii ishu na mimi leo nimejaribu kusajili online, vitu vilivyonishinda ni hv
-TIN, nitakuwaje nayo wakati bado sina kampuni, je naweza tumia ya leseni ya udereva
-Sina anuani ya kampuni, je naweza tumia ya binafsi
-Sina shareholder mwingine, je nawezaje kugawanya share na thamani yake