Dr. Magufuli ni Rais bora wa karne

Dr. Magufuli ni Rais bora wa karne

Hakuna jambo kama hili saivi. Shule pamoja na elimu vyote vimeboreshwa. Hii ni picha ya zamani kidogo
Wewe umekaa dar kwenye masofa hata jimbo la Bahi hulijui.njoo huku bahi ushuhudie hapa kazi tu! Chini ya Mbuyu
 
Acha nimsifie, moja ni mwana CCM mwenzangu, mzalendo mwenzangu, na zaidi ya yote ni Rais wangu tena bora wa karne.
Kila mtu ana karne yake? Maana wewe na ******** wako mna karne yenu sijui ilianza mwaka gani!!?
 
Magufuli anatengeneza vitu vinavyompa sifa binafsi na matangazo kila mahali. Sijui aliyemdanganya kwamba ukitangazwa kila Mara kwenye TV ndo utapendwa ni Nani?
Magufuli anatusomesha shule ya msingi Ufala.
 
Pia nachukua pongezi kumpa nafasi hii ya dhati mheshimiwa ,amesababisha hali ya wananchi wa kawaida iimarike zamani tulizoea kuona matajiri wakiishi kama malaika ,hii ilimuuma sana mkuu sasa hivi wanaishi kama mashetani ,oooh baba yetu Magu sasa hivi biashara zimeshamiri ,wananchi wanafuraha iliyoje mtaani ni shangwe magu! magu! magu! huyu awe raisi wa maisha,uswahilini watanzania wanakenua meno tu wenye mabaa sinza wanauza hadi wanafukuza wateja .@mrangi

.
 
Narudia tena, inawezekana hujui kuwa karne inapimwaje.
Kumbe nabishana na mjinga, karne ni miaka mia, let say mwaka 2018,

2018-18=2000
2000/100=20
Kwa maana hiyo katika 2018, kuna karne 20 na miaka 18 ya karne iliyopo sasa ya 21

WE MJINGA SANA
 
Kama mtanzania mzalendo na mwenye uchungu na nchi yangu, kwa muda wa mwaka mzima nimejitahidi kufuatilia nyendo na uzalendo wa kiongozi wetu ndugu Dr. Jemedari, Mzalendo, na mwana maendeleo John Pombe Magufuli na kuja na jibu ambalo sioni wa kumlinganisha naye tangu tupate uhuru. Ndugu Magufuli nimeweza kumtofautisha na wengine waliotangulia kwa mambo kadhaa yafuatayo,

UTAWALA BORA
-Rais wetu amejitahidi sana kuweka utawala bora wa kupigiwa mfano. Amejitahidi kuwajengea uwezo na ujasiri wote walio chini yake kuanzia viongozi wenzie mpaka wananchi. Kwa sasa wote tunatembea huku tukijiamini. Viongozi wana ujasiri wa kukemea jambo lolote ambalo lipo kinyume na maslahi na manufaa kwa maendeleo ya nchi. Kipindi cha nyuma wenye hela walikuwa wanaogopeka ila sasa kila mtu anamheshimu mwenzie bila kujali wadhifa na uwezo wa mtu kifedha. Kwa hili amepata alama 100

UCHUMI-KILIMO
-Dah hapa ndio sijui niseme nini. Kila unapogusa unafurahi na kutoa machozi ya furaha. Viwanda lukuki vimejengwa na vinaendelea kujengwa, tutake nini wananchi. Umeme ndio huo, ni mwendo wa stigler gorge kwa kwwnda mbele. Hakuna maendeleo bila nishati wezeshi ya kuchachafya maendeleo. Watu wanafiki wanasema mbona hajawekeza kwenye kilimo kukuza viwanda, wamesahau kwa ukizungumzia kilimo unazungumzia jambo kubwa sana.

Niwape tu uelewa nini maana ya kilimo, kilimo kina matawi matano ambayo ni yafuatayo
-Sayansi ya udongo
-Mifugo
-Kilimo cha mazao
-Agromechanics(Mashine za uzalishaji)
-Agroeconomics(Uchumi wa kilimo)

Sasa katika hayo matano kiongozi wetu ameyafanyia kazi ipasavyo, wanasayansi wanafanya tafiti kila siku ni udongo gani unafaa kwa zao gani, majosho kwa mifugo yamejengwa mengi, mashine za kilimo zimetolewa kodi, mbolea zimepewa ruzuku, na pia anajitahidi kudhibiti bei za mazao ili wakulima wanufaike kama kwenye korosho. Nini tunataka zaidi ya hili

UCHUMI-NISHATI
-Hapa wenyewe mmeshuhudia stigler gorge, rea pamoja na miradi mikubwa ya umeme pale kinyerezi na mradi mkubwa wa umeme kwenda kanda ya kati.

UCHUMI-USAFIRISHAJI
-Barabara zisizo na idadi na kilometa za kutosha zinaendelea kujengwa, huku tumeanza mradi wa kuboresha reli ya kati, huku SGR inaendelea na ujenzi. Hivi watanzania tumelogwa na nani tushindwe kuelewa hili jambo dogo. Wote tutakuwa na ahueni, mwenye kupanda ndege ATCL inaendelea kuimarika, wenye kupanda treni ndio hivyo. Tanzania itakuwa kama kijiji, muda mchache unafika uendako

UCHUMI-ELIMU
-Bila elimu hakuna Taifa. Elimu bure ndio hiyo, shule zinazidi kuboreshwa kuanzia za zamani hadi za kipindi cha kati. Vyuo vikuu vimefurika wanafunzi kwa sababu ya wengi kupata mkopo. Huu ndio wakati wa Taifa kuinuka kielimu.

MAJI
-Miradi mingi ya maji inaendelea kujengwa. Nyie wenyewe ni mashahidi ndio maana hata wakati fulani kuna mkoa mmoja waliomba mwekezaji wa madini atolewe ili tanki la maji lijengwe.

NB; Hakuna wa kufanana naye kwani mambo makubwa yanafanyika kwa kipindi kimoja ndani ya miaka mitatu tu ya uongozi. Tunakuombea kwa Mungu uzidi kuimarisha maisha ya wananchi wako

Kutoka CHANGOKO-SAME
MZALENDO KINDAKINDAKI
CCM OYEEEEEE

Umesahau na hili. Amwezesha sasa Tanzania kujitegemea. Hatuhitaji misaada wala mikopo tena. Sasa hivi hata michango yetu UN na mashirika yake tunailipa yote pamoja na kulipa madeni ya nyuma. Tukiendelea hivi tutaanza kukopesha nchi nyingine.
 
Wewe wametoa ubongo wote.
 
Yote mema
Mkuu hayo unayoandika kama kweli unamaanisha si mema hata kidogo. Na nitatilia shaka uwezo wako hata kama ndo mapenzi kwa mtu na ndo maana nikaandika hivyo, kama ulikuwa unatania nitaomba radhi.
 
Kazi ya kutukuka bado inaendelea.

MAGUFULI OYEEEEE
CCM OYEEEEEEE
 
Jiwe ni Dictator kamili. Ila Mimi namuunga mkono ili atunyoshe tuishe unafiki. Kiuchumi na kiutawala huko ni sufuri kabisa. Karibuni Wana CCM asili tufurahi pamoja. Mlitunyanyasa sana na mabao ya mkono. Sasa bao lenu LA mkono limewatokea Puani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom