DR Congo: Mahakama ya Kikatiba yamtangaza Tshisekedi mshindi wa Urais na kutupilia mbali pingamizi la Fayulu

93B126BA-0FAB-4316-9F16-A86562F2920F.gif
 
Hakuna lolote, maandamo yangekua na nguvu angetangazwa Shadary

Na kuwavunja nguvu timu Fayulu ,wamemvuta Kyungu wa Kumwanza ( baba wa Katanga ) Kinshasa kupewa somo, maana huyu ndio kichwa cha Moise na Fayulu kwa upande wa Katanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ndo basi tena,hopefully this time waCongo wameelewa kuacha kutumika na wanasiasa wkt kikinuka wao ndo wakimbizi.

Vipi huko mbeleni Tshekedi hawezi lipa kisasi kwa kina Kabila&the crew?

Au ye ni pambo la kabila huku akiwa powerless?
 
Back
Top Bottom