mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Napenda nichukue nafasi kumkumbusha Mh. Sana Bw.Abdallah Bulembo Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi kuwa huo Ukatibu Mkuu wa CCM anaoutafuta , asiutafute Kwa kutanguliza Majungu Kwa wana ccm wenzake.Akumbuke kuwa hata yeye ana madhanbi Na maovu mengi anbayo wote tunayajua Na pia Ukatibu Mkuu wa CCM kigezo ni pamoja Na ELIMU Na elimu yake inajulikana atulie .