Recent content by Samboko

  1. Samboko

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA Haijafanya Mazungumzo na Serikali, Yapinga Kauli ya Rais Samia Lissu kutafakari

    Kama hataki mazungumzo manake si bado anatafakari? Shida iko wapi adi alisemee
  2. Samboko

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika wa haraka, njia nzuri ya kufika shule ya sekondari Kalya iliyopo wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma

    Habari wana Jf, Naomba msaada kwa mwenye kujua njia nzuri ya kufika shule ya sekondari Kalya iliyopo wilaya ya Uvinza mkoani kigoma. Mdogo angu amepangiwa kufundisha hapo shuleni sasa hajui afikeje hapo kituo chake kipya cha kazi, nimejaribu kuingia google map lakini sijafanikiwa kuona njia...
  3. Samboko

    JamiiForums Tanzania Bawasiri bila upasuaji

    Leo siku ya 3 kuna kipele kigumu na kina maumivu makali kimenitokea, Nahisi inaweza kua yenyewe, Hapo kwenye nyama nyekundu nahisi ndio tatizo limeanzia hapo, hizo sababu zingine ni kwa mbaaaaliii😢
  4. Samboko

    JamiiForums Tanzania Duniani kote vilabu vya soka havijihusishi na siasa. Inakuwaje Yanga wajihusishe na CCM moja kwa moja? Sisi ambao sio wana CCM tuhame timu?

    Unafiki tu unawasumbua, Niambie ni kiongozi gani mkubwa unaemjua wa upinzani anashabikia Yanga? Kuna mwigulu, Kikwete, Tarimba, Ridhiwani, Karume, Shein, Na wengineo wengi wapo ccm na mashabiki wa Yanga, ila upinzani sijui ni nani anashabikia timu gani, Kipindi mama anaingilia suala...
  5. Samboko

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Sina maana hiyo, hapo ndugu wa familia moja wanaamua kesi, tunapoteza mda wetu bure tu kupiga kelele, Mramba aliibia taifa ma bilioni hukumu yake kwenda kufagia, dogo kachoma picha kala mitano.
  6. Samboko

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

    Iliwahi nikuta hii mwaka 2006/7 wanakwaya sijui praise walikua wanajifunzia chumbani mwao tena usiku, mwendo wa majitaa tu adi 8 usiku... Tukaamua na jamaa yangu kuchukua ufa kubwa sean piano, wakianza tu na sisi tunafungulia wakamwita kiongozi wao hakai mbali kaja kutufokea tukazichapa wapo...
  7. Samboko

    JamiiForums Tanzania Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

    Ingekua hiyo fursa waliyopata wamasai imeenda kwa wachaga ungekua wote wako msomera wanasubiri nyumba zao ziishe wangejihamisha wenyewe wanajua kucheza na fursa.
  8. Samboko

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Wengine tufanye mambo mengine, sio yote yanayotuhusu
  9. Samboko

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Mna ushahidi kapewa mwarabu? Wakati huu mkakati wa kuwahamisha upo zaidi ya miaka 20 iliyopita? Kwa hy mwarabu anasubiri tu😂😂
  10. Samboko

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Hapa ndio wenye akili kisoda hudanganywa kwa kuambiwa maeneo ya asili wakati wengi wamevamia, kisa tu babu yako kavamia ukizaliwa wewe linakua la asili? Jiulize kati ya hao wanyama na binadamu nani kamkuta mwenzie?
  11. Samboko

    JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko nimfanye nini?

    Michepuko wana wivu kuliko wake zetu😃
  12. Samboko

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Hii imetokea ili iwasaidie mashabiki wa simba kujifariji kidogo, maana yanga ingeshinda na jana simba ikashinda bado wangepiga kelele timu yao haichezi vizuri[emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samboko

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa taasisi zilizorudisha rushwa kwa kasi ya ajabu awamu ya sita

    Rushwa ipo popote wakati wowote, tena kipindi chake ndio watu wanalikua wanapiga ela kimya kimya bila kelele yeye akiwa kinara wao, maana vyanzo vya kutoa habari vilikua vimebanwa, mtu ukitoa taarifa ya rushwa unatafutwa wewe, ukitoa taarifa ya mradi m'bovu unakamatwa wewe, nadhani mnakumbuka...
  14. Samboko

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Samahani mkuu, kwa sisi tusiojua hizo SoC ulizosema tunafanyaje ili kuzijua na ikiwa ngapi ndio nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Samboko

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Yaani adi niseme Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom