Bado naendelea na process but till this time nilicho fanikiwa ni kupata nafasi Australia ambapo natakiwa nipitie Kenya kwaajili ya primary learning. Nkifanikiwa kukamilisha requirements zote ndipo ntakuja kuwapa full statements about this. For sure process ni ndefu inahitaji time ya kutosha...
Mkuu kama unafahamu juu ya kile ninacho hitaji plz naomba nifahamishe swala la ada ckulitaja labda kama utaweza pia kutoa Aid ya ada kwa mdogo wangu karbu lakin usisahau kunisaidia ombi langu la awali.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, nahitaji nipate mawazo chanya kwa atakaekua anafaham. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka 2016.
Alijiunga na masomo ya elimu ya juu ktk chuo cha usafirishaji cha taifa akichukua degree ya teknolojia ya habari na mawasiliano (bachelor degree in...
Hatakama ni utoto lkn kuwa mpinzani hakumaanishi wewe u nabii.
Niwazi kelele kwa upinzani ni moja ya mchango mkubwa kwa kufanya chama tawala kuwa makin ktk utendaji kaz lakin ziwe na mashiko na sio kukalilisha watu kwakuwa wanashida basi lazima nao walalame bila kujali hali ya nguvu yao ktk...
Ilikua vizur sana kama wapinzani wangekuwa wanapma maneno yao kabla ya kulalamika. Inasikitisha sana unapomlalamikia mtu kwahofu wakati hujui yeye kawaza yapi mpaka akatamka hivo. Upinzani tumekosa busara tumebaki kuhahatu huku msimamo wetu ukiwa bendera hali inayotushushia hadhi yetu hasa kwa...
Watu mnakalili vibaya. Et mtu kama hana kazi basi akalime! Huo mtaji wa kilimo angekuanao sizani kama angetafuta kazi.[emoji40] nlijaribu tu kuwaza loudly
Wakuu habari, kama title inavyosema ninahitaji mtu yeyote ambae atakuwa anapata tabu niwapi atapata msimamizi wa shamba lake Kwa shughuli za kulima, palizi, kupulizia dawa na mavuno mkoa wa morogoro. Piga
0678058876 au
0683342816
Tupige kazi
Nikwel nalo nimoja ya mipango yangu lakn kama nilivokwishakúsema kwa mdau mmoja kua mfamaji haachi kutapatapa chochote anachoona kitamsaidia hukfwata, nihivyo mkuu
Shortly nikwamba huku nilikua mjasiliamali wa matofali ya kuchoma but now imekua ngumu kwa7bu gharama za uendeshaj zmekuwa kubwa wakat tofali likiwa halipand bei, hicho ndicho ninauzoefu nacho mkubwa.
Kingne labda ni mambo ya ufund wa furnitures lakñ hyo cjaiva xaana kivile, Swala la kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.