Matokeo kidato cha sita 2016

Matokeo kidato cha sita 2016

Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
Waisome namba kivipi ma mdogo
 
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!

Mama Mdogo vipi tena. Kuna wengi tu hawajaitwa huko na sio kwamba wamesahauliwa-kwa nini hutaki wapate matokeo yao?
 
hivi ni kweli imepitishwa eti ukipata division 3 form six huendi chuo kikuu kwamba universities tanzania ni kwa ajili ya div 2 na div 1.
Hii si kweli, hatujawa na ufaulu kiasi hicho cha kukosa nafasi wote wenye Div.3 na hakuna circular yeyote iliyotolewa kuhusu hiki kilicho andikwa.
 
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
Mama mdogo uwe unauliza basi sio unakurupuka mama mdogo jamani Kati ya watu 75000 wameenda 15000 tu mama mdogo vipi kwani
 
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
Kama hujui jambo n bora ukae kimya kukaa,kimya sio ujinga
 
Back
Top Bottom