Naomba kuwauliza wenye uzoefu, nategemea kufunga ndoa kwa kufanya harusi, lakini baba mkwe aliniomba kwamba harusi ifanyike kwao ili aweze kumfanyia binti yake sherehe. Sasa naomba kuuliza nikikubali nitakuwa nimeolewa au haina shida inawezekana tu, jamani niko njia panda.
Naombeni ushauri
Pole sana ndugu,be smart in everything you do,inaonekana ameshakusoma na amekuelewa more than you know her.
Ni mke wako na huwezi kumuacha,mwanaume huwa anabadilikabadilika kuwa kama kinyonga ili asije akakujua sana.
Pia kama inawezekana mzalishe(watoto tano) sana atakuwa shaped tu.
Ukiwa mtumishi wa Mungu hupaswi kuchanganya siasa na Mungu,ndo maana wanajikuta badala ya kuchunga kondoo za Mungu wanajiingiza kwenye siasa.
Pia tambua kuwa kanisa la Roma ndo chanzo cha vurugu zote ulimwenguni.
Wanaye mtu anayeitwa black POPE ndiye anayetekeleza yote haya.Mungu awasaidie...
Serikali ilioko madarakani imewavurugia na kuwarudisha nyuma kimaendeleo wakulima baada ya kununua mahindi kwa mkopo toka kwa wakulima.
Wakulima wengi wamelaani kitendo cha serikali kutowalipa pesa zao huku mda wa kilimo ukiwa umewadia
waache watimize unabii maana wanakwenda kinyume na maagizo ya yesu.
wamekuwa matapeli kupitia jina la yesu adhabu yake nahisi ni maradufu.
wanaweka hela mbele kuliko kuwaongoa mioyo ya waumini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.