Point ya msingi majaliwa hakuwa pekee yake na alikua mstar wa mbelee kuokoa watu watu walifungua mpira yeye akaenda nao chini ya maji ukafyatuka akazimia zoez lilikua la watu wengi sema yeye ndio man of the match
Mi ninayo ila inapunguza dawa sio muhimu kikubwa ujue chanzo chake maana mimi inatokana na kukaa sana kwwnye maji nafuga samak mda mwing niko mabwawan hua nikisugua na jiwe na kupaka mafuta na kuvaa maviatu flan hiv ya joto kama sendoz za wahind zile ambazo hazina vitobo hua yanaondoka kabisa...
Inategemea kama hamna mkubwa mnaekaa nae miez mitatu itawahusu maana transfoma hazitengenezw sido vinguvingut hiyo mpaka kwa shaka zulu natal kwa mkaburu
Kuna nguvu za asili za kimvutano any way mwana malund shujaa wa kisukuma aliweza kutembea juu ya maji ziwan na ndio ilikua maskan yake kwenye yale mawe ya bismark rock
Naona umekurupuka na hoja umeandika kwa utash wako na sio Uhalisia na uchunguzi kwa faida yako tu ndege ilikita kwenye maji kwa kuangalia kichwa chini mkia juu ikapinda na kuvunjika kichwa kias cha maji kuanza kujipenyeza kidogo kidogo ndio maji yakajaa
Mimi Samia Suluhu Hassan ninakukaribisha kwenye uzinduzi wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 uwanja wa Jamhuri Dodoma tarehe 31 Oktoba, 2022.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.