Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,954
Bendera ya nchi yenu ina mstari mweusi katikati tegemea mambo kama haya kutokea kila wakati na bado utashangaa sanaTanzania tuna maziwa mengi ikiwemo Tanganyika na Nyasa.Mwaka 1996 ilitokea ajali ya meli damu ikamwagika.Miaka 2 iliyopita kivuko kiliua huko Busya sikumbuki jina kamili.Juzi Ndege imeua.Hili ziwa ni kwanini lina kiu ya damu namna hiyo.Huenda hili ziwa linafanyiwa matambiko makali sana.Ajali ni popote ila mbona maziwa kama Tanganyika huko hayanywi damu sana?wataalamu wa Imani na Washirikina mnalisemeaje hili?