Msaada: Kinyama kimeota sehemu za siri

Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.

Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.

Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.

Nawasilisha
Kama uko Dar Mpeleke TMJ ama Mhimbili. Pole sana.
 
Picha pleaseee, kama mbegu haziingii sogeza hicho kinyama pembeni na machine mbona simple tu
 
Nikajua kipo tundu la haja kubwa,Kuna Dem wangu mmoja anacho tundu la haja kubwa,huwa namlamba,nakibana na midomo,nakivuta,nakiachia kinalia taa...kwenye ngono Kuna uhayawani Sana!!
Utakuja kumeza kansa badala ya kuugua
 
Nilichogundua kwenye post hii watu wanajibu Kichwa cha habari. Hawajasoma habari yenyewe.
Wabongo acheni uvivu wa kusoma. Ndio maana tunaferi mambo mengi
 
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.

Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.

Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.

Nawasilisha
Inaitwa genital wart nishaitibu sanaa kwa dawa zangu za kupaka za asili
 
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.

Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.

Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.

Nawasilisha
Ulipo hakuna hospitali?
 
Nikajua kipo tundu la haja kubwa,Kuna Dem wangu mmoja anacho tundu la haja kubwa,huwa namlamba,nakibana na midomo,nakivuta,nakiachia kinalia taa...kwenye ngono Kuna uhayawani Sana!!
Nimecheka sana ila kuna siku utapata unachotafuta
 
Back
Top Bottom