Recent content by Samaki Nchanga

  1. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Mkuu wapi huko !? Wakulima wanalia kilo 480 Hata Report ya Serikali imeonyesha bei imeporomoka kwa mwezi huu Gunia maeneo mengine ni 40000
  2. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
  3. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Ukipata muda Ziatazame na hizi Hush Green Inferno Quet place Knock Jeepers Clipers
  4. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

    Kichumba ndo wapi? Au tuseme hapo unaandika thread ukiwa Selo?
  5. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Tunasubiri soon😂
  6. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    Huku kwetu tunaamini white people never cheat
  7. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    Habari wakuu! Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za...
  8. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Selous Fm 95.7: Kituo Kipya Cha Radio Songea Na Mapinduzi ya Tasnia ya Habari Mikoani

    Nikipata hiyo kazi nitarudi na mrejesho hapa
  9. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Selous Fm 95.7: Kituo Kipya Cha Radio Songea Na Mapinduzi ya Tasnia ya Habari Mikoani

    Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio. kwanza nawapongeza waanzilishi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika wengi tulizoea kukuta radio za mikoani zikiwa na vifaa duni...
  10. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

    Wabinafsi sana nimekaa Bukoba miaka miwili kama Ni kabila jingine na umefungua duka wachache Tena wageni ndo watanunua kwako Ila Wanawake wa kihaya wanna upendo sana wanajua kupenda hasa Ila wanaume loh wanakaroho flani kaukatili hata wao kwa wao NB: SIO WOTE WENGINE WAKO POA SANA Wagumaa
  11. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

    Unapigaje pin Facebook tupe kaufundi mkuu
  12. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Gharama ni za kawaida kulingana na sehemu zipo Hadi guest za buku Sita Ila huko kunguni ni kawaida Standard ni elf 30 Hadi 50 kwa Lodge Kama una nguvu karibu Naf Beach Hotel hapo kulala si chini ya laki moja
  13. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Laptop

  14. Samaki Nchanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
Back
Top Bottom