Recent content by samaka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kwa wenye uzoefu wa kujitolea katika Shirika la Restless Development

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba uzoefu wako wa kujitolea kwenye shirika la restless development kwenye miradi yake sehemu mbalimbali
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO na REA mnachokifanya Arumeru Mashariki ni hujuma au kuna tatizo?

    Kikatiti mwaweka lini umeme wa rea
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Penye utata chunga ulimi wako, ulimi uliponza kichwa

    KUULIZA SIO UJINGA baada ya awamu ya tano kuingia madarakani iliunganisha wizara ya afya na ya maendeleo ya jamii, jinsia, watoto na wazee lakini sijawahi kusikia waziri au naibu wake wakijadili chochote kinachogusa maendeleo ya jamii ambayo msingi wake mkuu ni PARTICIPATION OF THE PEOPLE sasa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    miaka mitano imewashinda saba itaisha hamna kitu kilichofanyika
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    afisa tarafa unaongoza tarafa yenye kata ambazo zina shida mbalimbali kwa nini hao watu wasikusaidie kuhimiza maendeleo huko walipo ''maendeleo hayana vyama'' hembu fanyeni shughuli za maendeleo ili waachague sio kuwapa rushwa. watu wanataka maendeleo sio mtendaji wa serikai kuja kujitangaza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    umepewa kazi ya kuja kusifia wenzio ukaona na wewe uwe maarufu afisa tarafa wa themi hivi kwenye tarafa yako ccm wana kaya ngapi? ukumbuke wewe ni mtumishi wa umma siasa waachie wanasiasa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    kama kuna fundi mwenye touch ya tablet tecno 8h droipad anitafute
  8. S

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya secretery

    unayo hiyo nafasi nije
  9. S

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya secretery

    nina elimu ya kidato cha nne nimesomea comp application nipo Arusha
  10. S

    JamiiForums Tanzania msaada simu inachelewa kuwaka

    msaada simu inachukua muda mrefu kuwaka hadi dakika 15
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    kama kuna mtu anajua online tv za bure zenye Chanel za Tanzania hasa itv
  12. S

    JamiiForums Tanzania Warioba ashitakiwe

    Kwani ulienda wakati wanakusanya maoni ya watu hukwenda ndio maana imeonekana watu wachache wametoa maoni
  13. S

    JamiiForums Tanzania kwa nini nokia x3-00 hazisapoti whatsapp lakini nokia x3-02 zinasapoti

    msaada kujua tofauti zake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, ingilia kati hili swala la shule ya sekondari Olasiti Arusha

    arusha day kuna viti lakini tulikuwa tunalipishwa
Back
Top Bottom